Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used

Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used kwa Bei nzuri Aje pesa hipo Mfuko wa Shati Ahasanteni.

Gesi
Godoro
Nk aje nipo DSM Temeke
 
Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used kwa Bei nzuri Aje pesa hipo Mfuko wa Shati Ahasanteni.
Unahitaji nini?
Mimi ninavyo vifuatavyo;
1. kitanda bila godoro cha 5*6
2. Stabilizer
3.Kochi moja

IMG_20220509_163916.jpg

IMG_20220511_201627.jpg

Lete ofa yako.
 
Natafuta Mtu anayeuza vitu vya ndani used kwa Bei nzuri Aje pesa hipo Mfuko wa Shati Ahasanteni.

Gesi
Godoro
Nk aje nipo DSM Temeke
Nenda chuo cha jirani onana na wadada wanagroups zinazouza vitu kwa wanaomaliza na miaka mingine nenda DUCE, Mwalimu nyerere, TIA etc
 
Ni aibu kwa kijana unayejimwambafai humu JF kwamba una Degree kutafuta vitu vya ndani used mfano Godoro, Kitanda au Fanicha yoyote,utakuja kununua vitu vyenye mikosi na magundu kijana
 
Nenda ista, search mfano vitu used, usedthings na kadhalika unaweza kupata.
 
Ni aibu kwa kijana unayejimwambafai humu JF kwamba una Degree kutafuta vitu vya ndani used mfano Godoro, Kitanda au Fanicha yoyote,utakuja kununua vitu vyenye mikosi na magundu kijana
Mkuu kuwa makini na kauli zako.
 
Mkuu kuwa makini na kauli zako.
Mtu mwenye akili timamu tena unayejitangaza kwamba una Degree unawezaje kununua Kitanda au Godoro used??hujui lililaliwa na nani,limefanyiwa nini,pengine lilishabebewa Maiti nk,kwa nini usipambane ukanunua kitu kipya!!!angalia ukipenda vitu used ipo siku utakuja kununua mpaka MSWAKI used kama sio Boxer used,mazoea hujenga tabia
 
Back
Top Bottom