Natafuta Mtu anayeweza kunikopesha kwa kuweka dhamana ya camera

JOTO LA MOTO

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
758
Reaction score
555
Mimi ni Mjasiriamali, sasa kuna shughuli zimekwama kidogo nahitaji kama shilngi 70000 (elfu sabini). Dhamana yangu ni camera aina ya cannon iliyo katika hali nzuri na inafanya kazi ikiwa na lensi zake mbili, mic na charger.

Nitakopa kwa muda wa siku 15 au 20 tu kwa riba tutakayokubaliana.

Nipo Dar Es Salaam
 
Mimi ni Mjasiriamali, sasa kuna shughuli zimekwama kidogo nahitaji kama shilngi 70000 (elfu sabini). Dhamana yangu ni camera aina ya cannon iliyo katika hali nzuri na inafanya kazi ikiwa na lensi zake mbili, mic na charger
[emoji3516]
KAMERA YAUZWA KISIASA!!!
 
..futa namba za ndugu zako wote bakiza za wazazi wako kama wote kwa ujumla hawana elf 70 hadi uje uombe huku wanafaida gani?
 
Mleta mada yaani wewe hufaii kabisa

Pesa ndogo hiyo huwezi kupa hata Mpesa,Tigo pesa au Airtel money ?

Wewe mleta mada utakuwa mkorofi kulipa madeni wewe .Hiyo hela ina maana huna hata rafiki wa kukupa? Utakuwa tapeli na mgumu kulipa madeni ya watu hilo kamera isije kuwa ulitapeli au wizi jumba bovu likamwangukia anayekukopesha
 
Duh, hapo umenena...umemfariji hakika.
 
Mleta mada yaani wewe hufaii kabisa

Pesa ndogo hiyo huwezi kupa hata Mpesa,Tigo pesa au Airtel money ?

Wewe mleta mada utakuwa mkorofi kulipa madeni wewe .Hiyo hela ina maana huna hata rafiki wa kukupa? Utakuwa tapeli na mgumu kulipa madeni ya watu hilo kamera isije kuwa ulitapeli au wizi jumba bovu likamwangukia anayekukopesha
Nilikuwa nusura nimpigie nimpe hiyo hela ila umenishtua aiseee, unaweza kupokea camera kesho yake ukatiwa mbarini duka limevunjwa mahala fulani .
 
Back
Top Bottom