YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Ukiona hivyo kasuswa na ndugu na marafiki kwa mkorofi wake wa kutorudisha pesa akikopesha ndio hupata hiyo shida..futa namba za ndugu zako wote bakiza za wazazi wako kama wote kwa ujumla hawana elf 70 hadi uje uombe huku wanafaida gani?
Unamkopesha elfu mbili kurudisha anajifanya kasahau wewe uliyemkopesha ndio uhangaike kumfuatilia
Na ukimfuatilia mkali yaani elfu mbili tu ndio unanidai hivi.Elfu mbili nayo hela nitakupa siku ingine hakupi!! Sasa siku ingine akihitaji hela ya kukopa hata elfu moja tu anazunguka kwa ndugu na marafiki wote hapati hata kama matajiri wenye pesa za kutosha hawatoi hiyo elfu moja.Ndio hawa kama huyu wanakuja kulia lia jamiiforums humu
Abiria Chunga mzigo wako