JOTO LA MOTO
JF-Expert Member
- Apr 11, 2018
- 758
- 555
[emoji3516]Mimi ni Mjasiriamali, sasa kuna shughuli zimekwama kidogo nahitaji kama shilngi 70000 (elfu sabini). Dhamana yangu ni camera aina ya cannon iliyo katika hali nzuri na inafanya kazi ikiwa na lensi zake mbili, mic na charger
Nipo Mbezi Luis Mkuu.Upo Dar maeneo gani!?
Kwani bei ya dukani ni ngapi hiyo?.[emoji3516]
KAMERA YAUZWA KISIASA!!!
Ila naweza kufika utakapoelekeza.Upo Dar maeneo gani!?
Fimbo ya mbali haiui nyoka.Ungekuwa mbeya ningekukopesha mkuu
😂😂😂 kwel kabisa mkuuFimbo ya mbali haiui nyoka.
Au nikija Mbeya nitakucheki.😂😂😂 kwel kabisa mkuu
Saw mkuuAu nikija Mbeya nitakucheki.
Duh, hapo umenena...umemfariji hakika.Mleta mada yaani wewe hufaii kabisa
Pesa ndogo hiyo huwezi kupa hata Mpesa,Tigo pesa au Airtel money ?
Wewe mleta mada utakuwa mkorofi kulipa madeni wewe .Hiyo hela ina maana huna hata rafiki wa kukupa? Utakuwa tapeli na mgumu kulipa madeni ya watu hilo kamera isije kuwa ulitapeli au wizi jumba bovu likamwangukia anayekukopesha
Nimeku PM.Labda 50000, weka namba.
Nilikuwa nusura nimpigie nimpe hiyo hela ila umenishtua aiseee, unaweza kupokea camera kesho yake ukatiwa mbarini duka limevunjwa mahala fulani .Mleta mada yaani wewe hufaii kabisa