Natafuta mtu expert kwenye hili jambo la Hallucination (Hearing voices from invisible cretures)

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Shalom

Moja kwa moja kwenye mada.

Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho.

Madakari na wachungaji naomba msaada wenu ? Nahisi hii ni mada nzuri sana basi tu watu either hawajui, au kuna wataalamu wanajua na wanataka kulipwa.

Nipo tayari hata kutoa pesa kwa ajili ya kuelezwa vizuri, haswa chanzo na recovery process yake inatakiwa ufanyiwe medication au uende kwa spiritual father.

Nawasilisha.
 
Niliambiwa hallucinations ni moja ya dalili ya sleep deprivation.
Sawa kaka ahsante sana, unaweza ukaongeza nyama kidogo ikikupendeza, na kama imetokea mara moja kwenye maisha yako huwa inajirudia ? Je matibabu yake ni ya kihospitali au ki imani (hapa kwenye imani namaanisha inani safi sio za kiganga wala kishirikina namaanisha imani za kwenda kanisani au msikitini )
 
S
Shalom

Moja kwa moja kwenye mada.

Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho.

Madakari na wachungaji naomba msaada wenu ? Nahisi hii ni mada nzuri sana basi tu watu either hawajui, au kuna wataalamu wanajua na wanataka kulipwa.

Nipo tayari hata kutoa pesa kwa ajili ya kuelezwa vizuri, haswa chanzo na recovery process yake inatakiwa ufanyiwe medication au uende kwa spiritual father.

Nawasilisha.
Sauti inasema ukikutana nae KIMWILI.. kukutana kimwili na nan?

Sauti hii unaiskia ukiwa katika mazingira gan?
 
Shalom

Moja kwa moja kwenye mada.

Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho.

Madakari na wachungaji naomba msaada wenu ? Nahisi hii ni mada nzuri sana basi tu watu either hawajui, au kuna wataalamu wanajua na wanataka kulipwa.

Nipo tayari hata kutoa pesa kwa ajili ya kuelezwa vizuri, haswa chanzo na recovery process yake inatakiwa ufanyiwe medication au uende kwa spiritual father.

Nawasilisha.
Inner souls intuitions.. Ni primary stage za yale wanayopitia vichaa.. Kwa bongo hakuna tiba zaidi ya kushauriwa ukaombewe

Thread 'Vichaa huona nini?' Vichaa huona nini?
 
Shalom

Moja kwa moja kwenye mada.

Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho.

Madakari na wachungaji naomba msaada wenu ? Nahisi hii ni mada nzuri sana basi tu watu either hawajui, au kuna wataalamu wanajua na wanataka kulipwa.

Nipo tayari hata kutoa pesa kwa ajili ya kuelezwa vizuri, haswa chanzo na recovery process yake inatakiwa ufanyiwe medication au uende kwa spiritual father.

Nawasilisha.

Kusikia sauti zikikuelezea jambo, kukushurutisha jambo au kukuonya bila uhalisia ni mojawapo ya dalili ya afya ya akili kutokuwa njema. Msingi mkuu ni mvurugiko wa kemikali zinazowezesha mawasiliano kwenda vyema kwenye ubongo.

Sababu ni nyingi na tiba hutegemea na tatizo la msingi na kiasi cha tatizo.
Wataalamu wa afya ya akili huweza kufanya tasimini ya chanzo, kiasi, tiba na mabadiliko ya kuzingatia kwenye maisha.

Shalom

Moja kwa moja kwenye mada.

Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho.

Madakari na wachungaji naomba msaada wenu ? Nahisi hii ni mada nzuri sana basi tu watu either hawajui, au kuna wataalamu wanajua na wanataka kulipwa.

Nipo tayari hata kutoa pesa kwa ajili ya kuelezwa vizuri, haswa chanzo na recovery process yake inatakiwa ufanyiwe medication au uende kwa spiritual father.

Nawasilisha.
shalom..
pole sana kwa changamoto hiyo.
1)unasikia sauti za mtu ambaye mnafahamiana(baba,mama,rafiki) zinakupa melekezo gani?je sauti zinakupa
ujumbe gani?
2)je sauti unazisikia wakati gani na ukiwa unafanya nini?
3)ulianza kuzisikia lini kwa muda gani na huzisikia mara ngapi kwa siku?au mara ngapi kwa kipindi gani?
4) wewe unaamini nini katika hizo sauti unazozisikia?unaamini kabisa ni halisi au si halisi?
5)je ni za watu walio hai au waliokufa?kama ni watu waliohai
,pindi mkikutana ukiwauliza kama kama ni kweli walikusemesha wanajibu nini?kama sauti zilikuzuia mkikutana live usiwasemeshe/usiwaulize,je na wewe unaamini hivyo?je unaamini kweli walikusemesha sauti na una amini hutakiwi kuwauliza kuwasemesha??6)je una amini ukiwauliza juu ya yale waliyokusemesha ,je una amini ukiwauliza nini kitatokea kadiri ya imani yako??
 
Kuna kipindi nikiwa nipo kwenye mawazo saana zilikuwa zinatokea ila zilikuwa kana kwamba kuna watu wananisema au kunisengenya lakini sasahv zilianza usiku kucha sikulala na asubuhi nikaenda kazini kwangu zikawa zinaniambia nifanye mambo ya hovyo baadae jioni ndio watu wakapigia ndugu zangu simu nikapelekwa hospitali wakanipiga lindane kali ya usingizi nakuja kuamka saa tisa, Baada ya kukaa sawa ndio nikaqmbiwa nilikuwa nafanya vitendo si vya kawaida
 
Hizo dawa ulipewa baada ya kua na hilo tatizo au ulipotumia ndo zimekuletea
nimepewa baada ya hili tatozo kutokea, sasahv wala sisikii ila ime picha ya siku nafanya vitendo ambavyo si vya kawaida bado ipo kichwani na huwa inanijia sana
 
Natumia Haloperidol na Benzhexol
Sauti, unaweza kuzikisikia kutokea sehemu tatu.. nafsi yako, spiritual being, from Superior being.

Inakuwaje kwenye nafsi yako, ni reflection ya events ( za kiroho au ki mwili ).
Namna ya kuondoa hii ( ni kupata healings of your soul ), nafsi yako inapopona hiyo inakata. Fahamu nafsi inapokuwa na majeruhi inafungua milango kwa anza entities.. kwanza umenipata kabla sijaendelea ?
 
nimepewa baada ya hili tatozo kutokea, sasahv wala sisikii ila ime picha ya siku nafanya vitendo ambavyo si vya kawaida bado ipo kichwani na huwa inanijia sana
Okay endelea kutumia dawa pia hizo zina side effects ya kumkosesha mtu usingizi
 
Inner souls intuitions.. Ni primary stage za yale wanayopitia vichaa.. Kwa bongo hakuna tiba
Hiyo haitaki tiba, inahitaji akili na utiifu pamoja na kujiepusha na ujuaji.

Ukiwa mjuaji na mkaidi lazima uwe kichaa kwa sababu wale "jamaa" hawana namna nyingine isipokuwa KUKUVURUGA ila ukae kwenye mstari wanaotaka.

Sasa kabla HAWAJAKUVURUGA ni heri ushike adabu na uwasikilize kwa makini na ufanye mazungumzo nao ya KISOMI na ya KIUTU UZIMA.

You must hold with them an INTELLECTUAL DISCUSSION, na sio kujiropokea tu ovyo ovyo. AN INTELLECTUAL BARGAINING, a conversation that is deep and knowledgeable.

Ukienda nao tu kama kipusa asiyejitambua watakurarua.

Na inategemea pia hao "jamaa" wana kiwango gani cha maarifa au kiwango gani cha "mamlaka".

Wengine ni duni tu, lakini lazima kwenda nao taratibu.

Cc: Lamomy Extrovert SweetyCandy Kapeace Dejane
 
kuna tukio lolote..limekutokea hapo nyuma kidogo kama kufiwa na mwenza wako au mtu yeyote ma kalibu na muhimu kwako au kuna hasara yoyote umeipata aidha kikazi au kibiashara?
maana lazima kuna ssbabu ya hilo tatizo mkuu.
 
Back
Top Bottom