Natafuta mtu expert kwenye hili jambo la Hallucination (Hearing voices from invisible cretures)

Kuna kipindi nikiwa nipo kwenye mawazo saana zilikuwa zinatokea ila zilikuwa kana kwamba kuna watu wananisema au kunisengenya lakini sasahv zilianza usiku kucha sikulala na asubuhi nikaenda kazini kwangu zikawa zinaniambia nifanye mambo ya hovyo baadae jioni ndio watu wakapigia ndugu zangu simu nikapelekwa hospitali wakanipiga lindane kali ya usingizi nakuja kuamka saa tisa, Baada ya kukaa sawa ndio nikaqmbiwa nilikuwa nafanya vitendo si vya kawaida
pole sana
nimepata maelezo ya ziada hapa
1)sauti za watu wanakusema/kukusengenya persecutory?? je una una amini hao unaosikia sauti wakikusengenya /kusema wana nia ovu juu yako?au wanakuchukia?
2)insomnia-changamoto ya kutokulala/kukosa usingizi
3)abnormal behaviour/kufanya vitendo ambavyo jamii yako inatafsiri sio vya kawaida tofauti na kawaida ya jamii
hizi ni baadhi ya dalili za magonjwa yasiyo ya kuambukiza ya ya akili.(mental illness) nna dawa unazotumia zimekusaidia bila hizo dawa hali yako pengine ingekuwa serious kuliko sasa.
USHAURI WANGU
Fuata ushauri wa daktari wako anayekutibu,endelea kuhudhuria kliniki ya magonjwa ya akili(NENDA HOSPITALI) huu ugonjwa unatibiwa hospitali na matibabu yake ni endelevu ya muda mrefu usizembee kutumi dawa usiache dawa,huu ugonjwa hautibiki kwa wagangabwa kienyeji wala kupitia maombi ya kiroho.
sababu yake ni changamoto katika vifungashio vinavyosafirisha taarifa kwenye ubongo kwa ajili ya ubongo kuratibu na kutafsiri hizo taarifa neurotransmitters.(NENDA HOSPITALI ZINGATIA MATIBABU YA HOSPITALI,ukionwq na daktari bingwa wa magojwa ya akili itakuwa vizuri zaidi PSYCHIATRIST.
 
Kwa kweli nashukuru sana kwa maelezo ya kina, Ubarikiwe sana mkuu, 🙏 sasa hv nina dozi ya mwezi mzima na nimeambiwa namna nzuri ya kukaa na jamii, na pia mazingira ninayokaa.

Jamiiforum ni jukwaa kubwa sana na lenye watu wenye akili na pia mioyo ya kusaidia watu kwa elimu walizopata.

Tuendelee kuojenga jamiiforum yetu na turudishe hadhi ya jamiiforum ya miaka ya 2015 kuridi nyuma.
 
Back
Top Bottom