Sawa kaka ahsante sana, unaweza ukaongeza nyama kidogo ikikupendeza, na kama imetokea mara moja kwenye maisha yako huwa inajirudia ? Je matibabu yake ni ya kihospitali au ki imani (hapa kwenye imani namaanisha inani safi sio za kiganga wala kishirikina namaanisha imani za kwenda kanisani au msikitini )Niliambiwa hallucinations ni moja ya dalili ya sleep deprivation.
Sauti inasema ukikutana nae KIMWILI.. kukutana kimwili na nan?Shalom
Moja kwa moja kwenye mada.
Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho.
Madakari na wachungaji naomba msaada wenu ? Nahisi hii ni mada nzuri sana basi tu watu either hawajui, au kuna wataalamu wanajua na wanataka kulipwa.
Nipo tayari hata kutoa pesa kwa ajili ya kuelezwa vizuri, haswa chanzo na recovery process yake inatakiwa ufanyiwe medication au uende kwa spiritual father.
Nawasilisha.
Inner souls intuitions.. Ni primary stage za yale wanayopitia vichaa.. Kwa bongo hakuna tiba zaidi ya kushauriwa ukaombeweShalom
Moja kwa moja kwenye mada.
Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho.
Madakari na wachungaji naomba msaada wenu ? Nahisi hii ni mada nzuri sana basi tu watu either hawajui, au kuna wataalamu wanajua na wanataka kulipwa.
Nipo tayari hata kutoa pesa kwa ajili ya kuelezwa vizuri, haswa chanzo na recovery process yake inatakiwa ufanyiwe medication au uende kwa spiritual father.
Nawasilisha.
Shalom

shalom..Shalom

Ndo side effects za hzo anti psycoticsNatumia Haloperidol na Benzhexol
Kuna kipindi nikiwa nipo kwenye mawazo saana zilikuwa zinatokea ila zilikuwa kana kwamba kuna watu wananisema au kunisengenya lakini sasahv zilianza usiku kucha sikulala na asubuhi nikaenda kazini kwangu zikawa zinaniambia nifanye mambo ya hovyo baadae jioni ndio watu wakapigia ndugu zangu simu nikapelekwa hospitali wakanipiga lindane kali ya usingizi nakuja kuamka saa tisa, Baada ya kukaa sawa ndio nikaqmbiwa nilikuwa nafanya vitendo si vya kawaidashalom..
pole sana kwa changamoto hiyo.
1)unasikia sauti za mtu ambaye mnafahamiana(baba,mama,rafiki) zinakupa melekezo gani?je sauti zinakupa
ujumbe gani?
2)je sauti unazisikia wakati gani na ukiwa unafanya nini?
3)ulianza kuzisikia lini kwa muda gani na huzisikia mara ngapi kwa siku?au mara ngapi kwa kipindi gani?
4) wewe unaamini nini katika hizo sauti unazozisikia?unaamini kabisa ni halisi au si halisi?
5)je ni za watu walio hai au waliokufa?kama ni watu waliohai
,pindi mkikutana ukiwauliza kama kama ni kweli walikusemesha wanajibu nini?kama sauti zilikuzuia mkikutana live usiwasemeshe/usiwaulize,je na wewe unaamini hivyo?je unaamini kweli walikusemesha sauti na una amini hutakiwi kuwauliza kuwasemesha??6)je una amini ukiwauliza juu ya yale waliyokusemesha ,je una amini ukiwauliza nini kitatokea kadiri ya imani yako??
Hizo dawa ulipewa baada ya kua na hilo tatizo au ulipotumia ndo zimekuleteaNatumia Haloperidol na Benzhexol
nimepewa baada ya hili tatozo kutokea, sasahv wala sisikii ila ime picha ya siku nafanya vitendo ambavyo si vya kawaida bado ipo kichwani na huwa inanijia sanaHizo dawa ulipewa baada ya kua na hilo tatizo au ulipotumia ndo zimekuletea
Sauti, unaweza kuzikisikia kutokea sehemu tatu.. nafsi yako, spiritual being, from Superior being.Natumia Haloperidol na Benzhexol
Okay endelea kutumia dawa pia hizo zina side effects ya kumkosesha mtu usingizinimepewa baada ya hili tatozo kutokea, sasahv wala sisikii ila ime picha ya siku nafanya vitendo ambavyo si vya kawaida bado ipo kichwani na huwa inanijia sana
Hiyo haitaki tiba, inahitaji akili na utiifu pamoja na kujiepusha na ujuaji.Inner souls intuitions.. Ni primary stage za yale wanayopitia vichaa.. Kwa bongo hakuna tiba
AiseeInner souls intuitions.. Ni primary stage za yale wanayopitia vichaa.. Kwa bongo hakuna tiba zaidi ya kushauriwa ukaombewe
Thread 'Vichaa huona nini?' Vichaa huona nini?