Natafuta mtu mwenye geto kali Mwanza awe ananiazima

Geto kali mara nyingi huduma zake humo ni zaidi ya hotel/lodge huu nao ni ukweli ambao hutoambiwa kamwe.

Geto ili liwe kali kwanza sifa kuu halitakiwi kuwa uswahilini, pili linatakiwa kuwa Self lenye kila huduma za kumaliza ndani bila kusumbua majirani.

Mfano, choo&bafu, jiko, sebure/chumba nadhifu, Smart Tv nch 43+, Sofa set, Kingamuzi kilicholipiwa DSTV&Azam only, Friji lililojaa mazaga ya week nzima, Paket ya Kondom, Dawa za kupunguza maumivu ya mwili e.g kichwa&tumbo.
Kabati lenye set ya mafuta&pafyum za gharama, shoes case yenye pair zaid ya 3, Kitanda cha kisasa 5×6 nch or whatever,

Bila kusahau Fence&geti, Car parking, simple garden&mahala pa kupumzikia

Kiufupi geto kali ni lile linalotoa huduma zote kali kwa bei ya kitanzania,

Tsh 50,000 per day, ukichukua siku 3 utapewa punguzo la Tsh 5000 kwa kila day[emoji3][emoji3][emoji3][emoji846],.

N.b: ukitaka punguzo nenda kwenye single rooms huko vichochoroni kwa wahuni wenzio, Uzinzi gharama lazima cash zikutoke[emoji3]
 
Aisee nilikua sijajua maana ya geto kali
 
Back
Top Bottom