Natafuta mtu mzoefu wa kazi la Laundry

Natafuta mtu mzoefu wa kazi la Laundry

Kacharimbe

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
216
Reaction score
35
. Awe mkazi wa Mwanza
. Uzoefu katika biashara ya laundry
. Ofisi ipo Mkolani
. Mshahara maelewano
. Kuanza kazi 1.10.2024
. Njoo inbox pamoja na offer yako ya mshahara
 
Ukija inbox, please taja uzoefu kwenye eneo hili na elimu yako
 
Kazi ya laundry Ina uhitaji uzoefu? , na sio mental & physical fitness.
Au umeona wasukuma washamba sana ,
 
Back
Top Bottom