Tumia akili na wewe,, unafikri hapa tukikaa tumenuniana itapendeza? Huwezi ukaona kuwa tunataniana na mleta mada? Kwa nini wewe umeshindwa kuheshimu mawazo yangu kama unajifanya bingwa wa kuheshimu mawazo ya watu?Jifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama hujakubaliana na mawazo yako
Wewe Ndio tumia akili, ingekuwa utani na mleta mada angeanzisha mada kwenye jukwaa la utani,Tumia akili na wewe,, unafikri hapa tukikaa tumenuniana itapendeza? Huwezi ukaona kuwa tunataniana na mleta mada? Kwa nini wewe umeshindwa kuheshimu mawazo yangu kama unajifanya bingwa wa kuheshimu mawazo ya watu?
Kwanza kabisa pole ndugu.......naomba utujuze nasi tujifunze kuhusu baazi ya WAPEMBA na tabia zao plz kama hutojari.Aisee hakuna watu wa baya ktk kushare biashara kama wapemba, muda wowote wanakuangamiza sitosahau walichokifanya zambia
Hivi ni baazi au baadhi?!Kwanza kabisa pole ndugu.......naomba utujuze nasi tujifunze kuhusu baazi ya WAPEMBA na tabia zao plz kama hutojari.
"TWENTY M" ndio ninii? Embu nyoosha kiswahili basi ili watu wasikushtukie mapema kama wewe ni akina DUDETwenty m
Sio wote laknWapemba wengine wazush
Tuwasiliane tafadhaliAsalam alyykum hamujambo,
Mimi ni mzaliwa wa Pemba umri 37, natafuta mtu tushirikiane kibiashara kwenda kuchukuwa bidhaa nchini China, bidhaa zenyewe ni spea za simu
kwa jumla utaratibu vipi tufanye ni mazungumzo lakini mtaji uwepo.
Mimi nilikuwa sitaki mashirikiano lakini nimeamua kuweka wazi nikwamba mpaka kuupata mtaji utachukuwa muda hii biashara inausiri sana sana na inafaida sana mimi ni fundi wa simu naijua ndani nje na usidhani watu wote matapeli watu wako wazuri na wabaya sitaki nisiseme mengi humu mtaona najikwezea.
Jibu la hekimaAsante Sana nashukuru
Sio kweliAisee hakuna watu wa baya ktk kushare biashara kama wapemba, muda wowote wanakuangamiza sitosahau walichokifanya zambia