mattargsm
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 391
- 150
Asalam alyykum hamujambo,
Mimi ni mzaliwa wa Pemba umri 37, natafuta mtu tushirikiane kibiashara kwenda kuchukuwa bidhaa nchini China, bidhaa zenyewe ni spea za simu
kwa jumla utaratibu vipi tufanye ni mazungumzo lakini mtaji uwepo.
Mimi nilikuwa sitaki mashirikiano lakini nimeamua kuweka wazi nikwamba mpaka kuupata mtaji utachukuwa muda hii biashara inausiri sana sana na inafaida sana mimi ni fundi wa simu naijua ndani nje na usidhani watu wote matapeli watu wako wazuri na wabaya sitaki nisiseme mengi humu mtaona najikwezea.