Natafuta mtu tushirikiane kibiashara

Natafuta mtu tushirikiane kibiashara

mattargsm

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Posts
391
Reaction score
150
Asalam alyykum hamujambo,

Mimi ni mzaliwa wa Pemba umri 37, natafuta mtu tushirikiane kibiashara kwenda kuchukuwa bidhaa nchini China, bidhaa zenyewe ni spea za simu
kwa jumla utaratibu vipi tufanye ni mazungumzo lakini mtaji uwepo.

Mimi nilikuwa sitaki mashirikiano lakini nimeamua kuweka wazi nikwamba mpaka kuupata mtaji utachukuwa muda hii biashara inausiri sana sana na inafaida sana mimi ni fundi wa simu naijua ndani nje na usidhani watu wote matapeli watu wako wazuri na wabaya sitaki nisiseme mengi humu mtaona najikwezea.
 
Jifunze kuheshimu mawazo ya wengine hata kama hujakubaliana na mawazo yako
Tumia akili na wewe,, unafikri hapa tukikaa tumenuniana itapendeza? Huwezi ukaona kuwa tunataniana na mleta mada? Kwa nini wewe umeshindwa kuheshimu mawazo yangu kama unajifanya bingwa wa kuheshimu mawazo ya watu?
 
Wewe Ndio tumia akili, ingekuwa utani na mleta mada angeanzisha mada kwenye jukwaa la utani,
 
Aisee hakuna watu wa baya ktk kushare biashara kama wapemba, muda wowote wanakuangamiza sitosahau walichokifanya zambia
Kwanza kabisa pole ndugu.......naomba utujuze nasi tujifunze kuhusu baazi ya WAPEMBA na tabia zao plz kama hutojari.
 
Hivi ni baazi au baadhi?!

Kiswahili sifuri kabisa chaaaa.
 
Asalam alyykum hamujambo,

Mimi ni mzaliwa wa Pemba umri 37, natafuta mtu tushirikiane kibiashara kwenda kuchukuwa bidhaa nchini China, bidhaa zenyewe ni spea za simu
kwa jumla utaratibu vipi tufanye ni mazungumzo lakini mtaji uwepo.

Mimi nilikuwa sitaki mashirikiano lakini nimeamua kuweka wazi nikwamba mpaka kuupata mtaji utachukuwa muda hii biashara inausiri sana sana na inafaida sana mimi ni fundi wa simu naijua ndani nje na usidhani watu wote matapeli watu wako wazuri na wabaya sitaki nisiseme mengi humu mtaona najikwezea.
Tuwasiliane tafadhali
 
Back
Top Bottom