Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

Ndio
Nikishaielewa nataka kuifanya Conglomerate kabisa hapo mjini. Itanirahisishia kuandaa Management structure. Ntakutafuta, si upo Dsm?

Mi pia nina IT skills vyeti safi ila nataka nitengeneze hela upesi.
nipo dar naomba niku pm nikupe namba zangu tuwasiliane mkuu
 
Nailewa hii biashara kwa kiasi
nilikuwa natafuta Partner wa kuongeza mtaji tupige kazi,
Ila watu wanaogopa kutapeliwa.

pambana japo Jf imepoteza uaminifu Hivyo mambo ni Hivyo hovyo
Hahah we mwanamama uko vizuri kumbe. Watu hawataki mchezo na pesa zao aisee.
 
Hakuna mtu wa kukupa pesa ww umpe vyeti. 😁😁
Hela ngumu nyie, tena kesi ya madai ilivo nyepesi..ni kukubali na kusema utalipa kidogo kidogo ndani ya miaka mitano...mmh.

Kama huna mtaji, mtafute mtu akupe bodaboda uwe unaendesha unampelekea kipande ila usije ukakimbia nayo maana kwa swaga hizi mmh.
 
Nailewa hii biashara kwa kiasi
nilikuwa natafuta Partner wa kuongeza mtaji tupige kazi,
Ila watu wanaogopa kutapeliwa.

pambana japo Jf imepoteza uaminifu Hivyo mambo ni Hivyo hovyo
Asante mkuu na ndio maana nlisema raha ya ngoma ingia ucheze na wew umenielewa zaidi sabu unaju nini tunafanya ila kikubwa dua kaka hamna marefu yasiyo na nncha naomba tusikate tamaa mana sio watu wote wanaweza kukuvunja moyo ila wapo watakaoona fursa na wakaitumia mana there is no success without sucrifies
 
Hakuna mtu wa kukupa pesa ww umpe vyeti. 😁😁
Hela ngumu nyie, tena kesi ya madai ilivo nyepesi..ni kukubali na kusema utalipa kidogo kidogo ndani ya miaka mitano...mmh.

Kama huna mtaji, mtafute mtu akupe bodaboda uwe unaendesha unampelekea kipande ila usije ukakimbia nayo maana kwa swaga hizi mmh.
Braza kila kitu kina uzoefu na risk zake! Hiyo bodaboda ukinipa nikapata nayo ajari nikafa utakuwa umesave nini? Sinauzoefu na biashara za vyombo vya moto ila unaweza ibadilisha hyo bodaboda kuwa pesa na tukafanya kazi kwa upande nnaouweza zaidi
 
Hivi hizo IT wanafundishaje, huko vyuoni,

Mwana IT aliyepitia masomo vizuri akaiva, akimaliza chuo mtaji wake ni computer yake na bando la internet.

Ina maana hii IT umepoteza muda shuleni.

Najua wapo wengi na ile dhana ya kusoma ili mradi tumepata nafasi.

Serikali pia ni dhaifu kuhakikisha elimu yetu ni imara.

Pambana usichoke.
Umeandika kama mtu asiyekuwa na elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaji wa kutosha ni Tsh. ngapi
Kutosha alikomaanisha ni kukidhi mahitaji ya muhusika kulingana na malengo husika hvyo kama malengo ni makubwa lazma mtaji uwe mkubwa pia hvo amejaribu kuonesha kuwa malengo ndio yanaendana na aina flan ya mtaji
 
Umeandika kama mtu asiyekuwa na elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo Jamii yetu inayotuzunguka kwahyo hatuna budi kuishi nao.... ila muhimu kujua sio kila post unaweza kichangia hvo muda mwingne ni vyema kuwa msikilizaji zaidi kuliko muongeaji mana utajisaidia kujifichia meng tuyoyajua kuhusu ww
 
Labda hukunielewa hiyo post yangu
"Umeandika kama mtu asiyekuwa na elimu" ilikuwa imemlenga Nani? Rejea tena kucheki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom