nipo dar naomba niku pm nikupe namba zangu tuwasiliane mkuuNikishaielewa nataka kuifanya Conglomerate kabisa hapo mjini. Itanirahisishia kuandaa Management structure. Ntakutafuta, si upo Dsm?
Mi pia nina IT skills vyeti safi ila nataka nitengeneze hela upesi.
Nailewa hii biashara kwa kiasiNafikiri ni miongoni mwa watu walionielewa zaidi na hilo ndio lengo langu kubwa.
Hahah we mwanamama uko vizuri kumbe. Watu hawataki mchezo na pesa zao aisee.Nailewa hii biashara kwa kiasi
nilikuwa natafuta Partner wa kuongeza mtaji tupige kazi,
Ila watu wanaogopa kutapeliwa.
pambana japo Jf imepoteza uaminifu Hivyo mambo ni Hivyo hovyo
Poa we ni nicheki tu.Ndio
nipo dar naomba niku pm nikupe namba zangu tuwasiliane mkuu
Kiasi tunapambana,Hahah we mwanamama uko vizuri kumbe. Watu hawataki mchezo na pesa zao aisee.
Asante mkuu na ndio maana nlisema raha ya ngoma ingia ucheze na wew umenielewa zaidi sabu unaju nini tunafanya ila kikubwa dua kaka hamna marefu yasiyo na nncha naomba tusikate tamaa mana sio watu wote wanaweza kukuvunja moyo ila wapo watakaoona fursa na wakaitumia mana there is no success without sucrifiesNailewa hii biashara kwa kiasi
nilikuwa natafuta Partner wa kuongeza mtaji tupige kazi,
Ila watu wanaogopa kutapeliwa.
pambana japo Jf imepoteza uaminifu Hivyo mambo ni Hivyo hovyo
Anzia kwenye kitunguu ukuze mtaji fasta.Kiasi tunapambana,
Ila kwenye hii biashara Mtaji wa kutosha ndiyo kila kitu.
Braza kila kitu kina uzoefu na risk zake! Hiyo bodaboda ukinipa nikapata nayo ajari nikafa utakuwa umesave nini? Sinauzoefu na biashara za vyombo vya moto ila unaweza ibadilisha hyo bodaboda kuwa pesa na tukafanya kazi kwa upande nnaouweza zaidiHakuna mtu wa kukupa pesa ww umpe vyeti. 😁😁
Hela ngumu nyie, tena kesi ya madai ilivo nyepesi..ni kukubali na kusema utalipa kidogo kidogo ndani ya miaka mitano...mmh.
Kama huna mtaji, mtafute mtu akupe bodaboda uwe unaendesha unampelekea kipande ila usije ukakimbia nayo maana kwa swaga hizi mmh.
Mi pia nina IT skills vyeti safi ila nataka nitengeneze hela upesi.
Usihofu mdg wangu. Tutafanya maisha!Nimependa hii.
Pamoja Mkuu.Usihofu mdg wangu. Tutafanya maisha!
Kiasi tunapambana,
Ila kwenye hii biashara Mtaji wa kutosha ndiyo kila kitu.
Umeandika kama mtu asiyekuwa na elimuHivi hizo IT wanafundishaje, huko vyuoni,
Mwana IT aliyepitia masomo vizuri akaiva, akimaliza chuo mtaji wake ni computer yake na bando la internet.
Ina maana hii IT umepoteza muda shuleni.
Najua wapo wengi na ile dhana ya kusoma ili mradi tumepata nafasi.
Serikali pia ni dhaifu kuhakikisha elimu yetu ni imara.
Pambana usichoke.
Kutosha alikomaanisha ni kukidhi mahitaji ya muhusika kulingana na malengo husika hvyo kama malengo ni makubwa lazma mtaji uwe mkubwa pia hvo amejaribu kuonesha kuwa malengo ndio yanaendana na aina flan ya mtajiMtaji wa kutosha ni Tsh. ngapi
Ndo Jamii yetu inayotuzunguka kwahyo hatuna budi kuishi nao.... ila muhimu kujua sio kila post unaweza kichangia hvo muda mwingne ni vyema kuwa msikilizaji zaidi kuliko muongeaji mana utajisaidia kujifichia meng tuyoyajua kuhusu ww
Kitunguu nasubiria mahali kikomaeAnzia kwenye kitunguu ukuze mtaji fasta.
kila zao lina mtaji wakeMtaji wa kutosha ni Tsh. ngapi
Labda hukunielewa hiyo post yanguNdo Jamii yetu inayotuzunguka kwahyo hatuna budi kuishi nao.... ila muhimu kujua sio kila post unaweza kichangia hvo muda mwingne ni vyema kuwa msikilizaji zaidi kuliko muongeaji mana utajisaidia kujifichia meng tuyoyajua kuhusu ww
point to notekila zao lina mtaji wake
kikubwa ni kujaza gari mwenyewe