Natafuta mtu wa kufanya naye mazoezi ya kuimba

Kapyangi

Member
Joined
Oct 2, 2017
Posts
19
Reaction score
24
Habarini wanajamvi. Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki.

Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam.

Mimi ni mdau wa muziki na mtunzi wa nyimbo ingawa napata changamoto ya kupata waimbaji.

Ninatamani nijifunze kuimba pia, hivyo basi, kama kuna mdau yeyote ambaye anaimba(bongo flavour), au kuna kikundi chochote cha muziki naomba fursa ya kufanya mazoezi pamoja.

Pia, kama kuna mtu anafahamu sehemu ambapo vijana wanakutana kufanya mazoezi ya kuimba anaweza nijulisha.
Asanteni.​
 
Kuna kijana anaitwa Deogratius Kisandu ni mwimbaji mzuri sana. Mara ya mwisho alisema anakuja dar sjui atakua amefika. Angekufaa sana huyo
Asante sana mkuu. Unaweza kunisaidia namna ya kupata hata mawasiliano yake?
 
Kuna kijana anaitwa Deogratius Kisandu ni mwimbaji mzuri sana. Mara ya mwisho alisema anakuja dar sjui atakua amefika. Angekufaa sana huyo
Don Namilison atamsumbua tu kijana
 
Habarini wanajamvi. Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki.

Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam.

Mimi ni mdau wa muziki na mtunzi wa nyimbo ingawa napata changamoto ya kupata waimbaji.

Ninatamani nijifunze kuimba pia, hivyo basi, kama kuna mdau yeyote ambaye anaimba(bongo flavour), au kuna kikundi chochote cha muziki naomba fursa ya kufanya mazoezi pamoja.

Pia, kama kuna mtu anafahamu sehemu ambapo vijana wanakutana kufanya mazoezi ya kuimba anaweza nijulisha.
Asanteni.​
Kutana na msaani mkubwa ndani ya JF Civilian Coin a.k.a DJ Don nalimison
 
Back
Top Bottom