Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

Lucy massunya

Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
16
Reaction score
31
Habari wana forum,

Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi

Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye...

Hali ya ajira ni ngumu lakini pia mtaji hautoshi kwahiyo nimefikiria hivi ili kufanya partnership na mtu ambaye atakuwa tayari.

Targeted area ni Mwenge, Makumbusho, Sinza au Kinondoni.

Mawasiliano yangu ni 0655075007
 
Mimi sina uwezo, ila naomba uongeze taarifa, saluni gani unataka? Ya kike au ya kiume? Unataka ushirikiano wa aina gani? Mtalipana vipi?

Vifaa gani vinahitajika kwa kuanzia na makadirio ya gharama ni yapi? Umeshapata fremu maeneo hayo? Au muwekezaji ndio atafute?
 
Nawaza kwa sauti tu.

Mbona naona ikiwa una wateja wa kutosha kukuweka busy kutwa nzima hicho unachofanya cha kufuatwa au wewe kumfuata mteja ni bora zaidi ni kinakupa faida kubwa kutokana na gharama ndogo za uzalishaji

Vinginevyo uelezee kama mahitaji yamekuwa makubwa unataka kupanua biashara. Lakini kwa ukubwa gani na ndoto zako ni zipi.

Tahadhali. Partnership ya kutegemea ujuzi wa partner mmoja huwa zinachangamoto pale mwenye taaluma anataka kuacha kisha wewe parter tegemezi unataka kuendelea na huna ujuzi na hiyu business.
Habari wana forum,

Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi

Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye...

Hali ya ajira ni ngumu lakini pia mtaji hautoshi kwahiyo nimefikiria hivi ili kufanya partnership na mtu ambaye atakuwa tayari.

Targeted area ni Mwenge, Makumbusho, Sinza au Kinondoni.

Mawasiliano yangu ni 0655075007
 
Mimi sina uwezo, ila naomba uongeze taarifa, saluni gani unataka? Ya kike au ya kiume? Unataka ushirikiano wa aina gani? Mtalipana vipi?

Vifaa gani vinahitajika kwa kuanzia na makadirio ya gharama ni yapi? Umeshapata fremu maeneo hayo? Au muwekezaji ndio atafute?
Salon ni UNISEX, eneo linatafutwa partner akishapatikana maeneo yapo tu... vifaa vipo kwa upande wa wanawake ila upande wa wanaume bado na hata hivyo vya kike ni vya kuongezwa kidogo...makadirio ni almost 2.5 million, thanks for your sms
 
Maelekezo yako hayajitosheleza, nahisi unahitaji mtu wa kukulipia fremu na sio business partner. .
Yanajitosheleza sema tu wew ndiyo hujaelewa, sina uwezo wa kulipa maenyew ikapatikana the best salon ninayoihitaji coz competition ni kubwa mno kwenye mambo haya... that's why I need someone who we can support each other...
 
Pia someni title mtaelewa zaidi msiwe wepesi wa kucoment kabla ya kuelewa kila kitu kimejieleza, partner/mfadhili/muwekezaji
 
Habari wana forum,

Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi

Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye...

Hali ya ajira ni ngumu lakini pia mtaji hautoshi kwahiyo nimefikiria hivi ili kufanya partnership na mtu ambaye atakuwa tayari.

Targeted area ni Mwenge, Makumbusho, Sinza au Kinondoni.

Mawasiliano yangu ni 0655075007
Ukowapi dear Mimi Nina vifaa muhimu vya saluni ya kike ninachangamito ya msimamiz
 
Ameandika hapo juu. Yuko Dar bila shaka! Maana target area yake ni Mwenge, Makumbusho, Sinza na Kinondoni. Na namba yake pia ya simu ameweka.

Nimeona nimsaidie kujibu. Maana haoneshi kupenda kuulizwa maswali yenye majibu, au yanayo jirudia.
 
Back
Top Bottom