Lucy massunya
Member
- Feb 12, 2013
- 16
- 31
Akija unistueMtoa mada leta details zote alizo shauri clinician hapo juu.
Poa...nawe una utalaamu wa urembo? Hivi hapo salon sii tunaweza pia uza chipi za wanawake🤔🤔🤔Akija unistue
Habari wana forum,
Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi
Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye...
Hali ya ajira ni ngumu lakini pia mtaji hautoshi kwahiyo nimefikiria hivi ili kufanya partnership na mtu ambaye atakuwa tayari.
Targeted area ni Mwenge, Makumbusho, Sinza au Kinondoni.
Mawasiliano yangu ni 0655075007
Salon ni UNISEX, eneo linatafutwa partner akishapatikana maeneo yapo tu... vifaa vipo kwa upande wa wanawake ila upande wa wanaume bado na hata hivyo vya kike ni vya kuongezwa kidogo...makadirio ni almost 2.5 million, thanks for your smsMimi sina uwezo, ila naomba uongeze taarifa, saluni gani unataka? Ya kike au ya kiume? Unataka ushirikiano wa aina gani? Mtalipana vipi?
Vifaa gani vinahitajika kwa kuanzia na makadirio ya gharama ni yapi? Umeshapata fremu maeneo hayo? Au muwekezaji ndio atafute?
Yanajitosheleza sema tu wew ndiyo hujaelewa, sina uwezo wa kulipa maenyew ikapatikana the best salon ninayoihitaji coz competition ni kubwa mno kwenye mambo haya... that's why I need someone who we can support each other...Maelekezo yako hayajitosheleza, nahisi unahitaji mtu wa kukulipia fremu na sio business partner. .
NmeshareplyMtoa mada leta details zote alizo shauri clinician hapo juu.
Hata za wanaume piaPoa...nawe una utalaamu wa urembo? Hivi hapo salon sii tunaweza pia uza chipi za wanawake🤔🤔🤔
Ukowapi dear Mimi Nina vifaa muhimu vya saluni ya kike ninachangamito ya msimamizHabari wana forum,
Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi
Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye...
Hali ya ajira ni ngumu lakini pia mtaji hautoshi kwahiyo nimefikiria hivi ili kufanya partnership na mtu ambaye atakuwa tayari.
Targeted area ni Mwenge, Makumbusho, Sinza au Kinondoni.
Mawasiliano yangu ni 0655075007
Ameandika hapo juu. Yuko Dar bila shaka! Maana target area yake ni Mwenge, Makumbusho, Sinza na Kinondoni. Na namba yake pia ya simu ameweka.Ukowapi dear Mimi Nina vifaa muhimu vya saluni ya kike ninachangamito ya msimamiz
Percent ya mapato ya kila mwezi kutokana na makubaliano yetuNikukupa utanipa nini
Be blessed dearAmeandika hapo juu. Yuko Dar bila shaka! Maana target area yake ni Mwenge, Makumbusho, Sinza na Kinondoni. Na namba yake pia ya simu ameweka.
Nimeona nimsaidie kujibu. Maana haoneshi kupenda kuulizwa maswali yenye majibu, au yanayo jirudia.
Ndiyo ulinicall jana right?Ukowapi dear Mimi Nina vifaa muhimu vya saluni ya kike ninachangamito ya msimamiz