Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

I

it depends... kila mtu ana changamoto zake... that's why kuna sheria
Ngoja nikuambie: maelezo yako yanajitosheleza kabisa. Kila kitu kiko clear. Kama kuna mtu ana nia ya kuwekeza basi ataku-contact na mtapeana details zaidi. Hapa JF mimi ni mkongwe na nikutahadharishe. Asilimia kubwa ya wanaouliza maswali na kukulaumu kwa nini hujibu ni wa kupuuza/kuwaambia watumie PM kwani either hawana nia au uwezo wa kuwekeza. Kingine: Utafuatwa sana na matapeli na pia wanaume ambao wanataka kutumia hitaji lako kwa manufaa yao, hivyo uwe mwangalifu sana. Kuna dada mmoja yamemkumta. Alitaka kufanya biashara ya ubia kama wewe akatangaza, akatokea jamaa mmoja akamwambia ana nia ya kuwekeza. Wakapanga kwenda sehemu kupeana details, jamaa akanunulia soda wanywe wakati wanaongea. Matokeo yake dada akaleweshwa na madawa na kuporwa kila kitu. Nasema tena: uwe mwangalifu sana na hata kama kuongea nendeni sehemu unazojua wewe ni salama na kila mtu mchukulie kwa tahadhari.
 
I

it depends... kila mtu ana changamoto zake... that's why kuna sheria
Mimi naomba kufahamu kabla sijakupigia...Fremu ya saluni unayoiwaza inaweza kugharimu kiasi gani mfano ikiwa Mori au kwa Remmy pale? Na decoration inaweza kugharimu kiasi gani?
 
Mbona hututahadharishi na sisi kuhusu yeye au yeye hawezi kutulewesha kwa kupaka dawa ya usingizi kwenye chuchu
 
Ukii zoom vizuri kuna kamtihani! Labda ifunguliwe saloon wewe uajiriwe, means upewe kama bodaboda kwa hesabu maalum kwa siku na malipo ni kwa week, hesabu hiyo ikijumuisha kodi, gharama ya matumizi ya vifaa na faida ya uwekezaji
 
Nilijiuliza kama wewe pia,kama wateja wamekukubali na kukufuata nyumbani kwako kuna umuhimu gani wa kujiongezea gharama za kukodi fremu.
Halafu ukumbuke ukifanyia nyumbani gharama zinashuka na bei pia inakuwa rafiki ila ukikodi fremu na bili ukiunganisha gharama za zitakuwa juu na bei ya huduma itabidi ipande ili upate faida.
Na ukipandisha bei usije ukashangaa wale wateja waliokuwa wanakufuata nyumbani wakapotea baada ya hapo utaanza upya kuwasaka wateja wa kiwango cha hiyo Saluni yako ambayo itakuchukua muda mrefu kusimama imara.
Na hapa ndipo ugomvi utaanza kati yako na mwekezaji maana yeye anawekeza pesa zake akitarajia zitarudisha faida kwa haraka wakati huo wewe unamwambia kuwa na subira bado wateja hawajaanza kuchanganya kuja.
 
Through your experience it cost around which amount?( sijui nikiwekaza hapa nitapata na jiko pia)😁😁😁
 
Through your experience it cost around which amount?( sijui nikiwekaza hapa nitapata na jiko pia)[emoji16][emoji16][emoji16]
You are not serious,unajiweka kikaangoni mwenyewe halafu badae uje kuanzisha uzi kwamba pesa yako haijarudishwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…