Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nimeamua Tu kumbariki tusikose mawasilianoMbona marupurupu ya kiswaswaduππ€
Nimesahau lunch ya nguvu jpiliHamna marupurupu ya nanii
Miss nakutafutaNimesahau lunch ya nguvu jpili
Ahaaa au ulale kabisaNipo tayari nitajitolea kukufundisha kwa masaa mawili ya ziada bure badala ya kumaliza saa 4 usiku naomba tumalizee saa 6 usiku
Wewe si Una kazi bwanaHii thread siisomi somi
Asante mdogo wangu kipenziAll the Best
Me sitaelewa napenda body to body teaching methodWatu wanasoma kwa zoom unatak habar za kufata nyumbn.
Kama utaruhusu nilale nitajitolea kukufundisha bureAhaaa au ulale kabisa
Saa 4 asubui hadi saa 4usiku .Natafuta Mwalimu wa Graphic Design
πΉ Sifa: Awe mhitimu wa chuo
πΉ Mshahara: Makubaliano
πΉ Mahali: Nyumbani kwangu (Dar es Salaam)
πΉ Ratiba: Kila Jumapili, kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku
πΉ Marupurupu: Laptop, simu (kiswaswadu)
πΉ Muda wa Kozi: Makubaliano
π Awe mkazi wa Dar es Salaam
Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali nitumie PM