Natafuta mtu wa kunifundisha graphic design

Natafuta mtu wa kunifundisha graphic design

Natafuta Mwalimu wa Graphic Design

🔹 Sifa: Awe mhitimu wa chuo
🔹 Mshahara: Makubaliano
🔹 Mahali: Nyumbani kwangu (Dar es Salaam)
🔹 Ratiba: Kila Jumapili, kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku
🔹 Marupurupu: Laptop, simu (kiswaswadu)
🔹 Muda wa Kozi: Makubaliano

📍 Awe mkazi wa Dar es Salaam

Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali nitumie PM
Daah! Sijui kwa nini nilienda kuomea makozi ya ajabu ajabu !! Ilikua bonge la zali.
 
Mapumziko ni kila baada ya masaa mangapi ? Na wakati wa kupumzika, tunajiburudisha na nini ? Au kivipi ? Nasubiri maelekezo... !!
Nasubiri, sitafuti kazi nyingine...🥰🥰🥰
 
Natafuta Mwalimu wa Graphic Design

🔹 Sifa: Awe mhitimu wa chuo
🔹 Mshahara: Makubaliano
🔹 Mahali: Nyumbani kwangu (Dar es Salaam)
🔹 Ratiba: Kila Jumapili, kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 4 usiku
🔹 Marupurupu: Laptop, simu (kiswaswadu)
🔹 Muda wa Kozi: Makubaliano

📍 Awe mkazi wa Dar es Salaam

Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali nitumie PM
Kwa siku hizi unajifundisha kupitia AI tu.
 
Mimi najitolea kukufundisha bure starti langu ni niwe nakufundishia uwe Unavaa nguo fupi niwe nayaona mapaja yako mazuri
 
Back
Top Bottom