Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la mtu binafsi sio rahisi kukubana/kukufirisi iwapo hautatekeleza mkataba..., Just imagine amekupa hizo pesa alafu yanatokea yatakayotokea unashindwa kulipa kwa kushindwa kuzalisha kama ulivyopanga ?, Ni nini anaweza kuchukua kwako/kuuza ili 10M yake irudi ?
Kama ni vigumu kwenda kwenye Taasisi za fedha basi wafuate watu wanaokufahamu ili waweze kukuamini, ingawa kama una biashara Bank is the way to go
Wabia nilitafuta But Wakawa wanataka Business more than that amount, wanataka wainvest 80M,100M...and to me is more than risk
Kama ungekua na collateral tungeongea biashara. Mambo hayo bila mdhamana au mdhamini u can forget abt that.Habari wana JF
Nina biashara yangu naendesha ivi sasa natafuta mtu wa kunikopesha Mil 10 then atanipa miezi mitatu Baada ya apo nitakuwa nampatia Laki tano (500,000) kila Mwezi kwa muda wa Miezi 36 (miaka 3).
Tafadhali wana JF tusaidiane Katika Hili,..:wacko:
ww wasema,najua umesahau tayari nina biashara na huo mkopo utachukua miaka 3...Kuwa makini na piga hesabu zako vizuri kabla huja comment
kwa nini usianze hiyo biashara yako kidogo kidogo? namaanisha ili ukuze mtaji kwanza hadi ufikie hapo?
My honest opinion, watu wanaotakaga hela za ghafla tu huwa hawafanikiwi kwenye maisha wala biashara. On a serious note, kweli ukopeshwe milioni 10 bila hata collateral ya kujuana? Manake walau kama mtu anakujua anakuaminia swaga zako kiasi inasaidia.
Kila la kheri. Risk takers ndio wanafanikiwa pia
Hata hivyo maelezo yake yananipa mashaka...anajielezea kama vile anafanya biashara ya uchuuzi wa kuuza karanga barabarani. Huyu nahisi atakuwa mchuuzi wa biashara ndogo ndogo na sasa anatafuta pesa ili aelekee kwenye ujasiliamali.
I know that...!
But remember sio kila simba anadhuru wengine ni wa maonesho..!
I mean sio kwamba imani imekwisha kwa wote.:cool2:
Acha kukariri ww unaejiita Million hair,mfanyabiashara ni mjasiliamali aliyekomaa so mfanya biashara ni mjasilia mali pia..
Take care..!
Habari wana JF
Nina biashara yangu naendesha ivi sasa natafuta mtu wa kunikopesha Mil
10 then atanipa miezi mitatu Baada ya apo nitakuwa nampatia Laki tano
(500,000) kila Mwezi kwa muda wa Miezi 36 (miaka 3).
Tafadhali wana JF tusaidiane Katika Hili,..:wacko: