Natafuta Mtu wa kunikopesha Mil 10

Natafuta Mtu wa kunikopesha Mil 10

Nenda Bank, kama huna sifa za kukopeshwa na Bank inamaanisha biashara yako miyeyusho.
 
Haya majina kwenye Avatar zenu ndio wakati mwingine yanajibu.
Wizzzyy Kizzyyyyyyyy
Wizzzyy Kizzyyyyyyyy

Anyway,nenda Bank kama unadhamana napia uwe na biashara unayo run vizuri.
Maana 10m Miaka mitatu kwa mtu binafsi huwezi kupata.
Unaweza kufanya jambo moja,weka wazo lako la biashara then tafuta wabia
 
Tatizo la mtu binafsi sio rahisi kukubana/kukufirisi iwapo hautatekeleza mkataba..., Just imagine amekupa hizo pesa alafu yanatokea yatakayotokea unashindwa kulipa kwa kushindwa kuzalisha kama ulivyopanga ?, Ni nini anaweza kuchukua kwako/kuuza ili 10M yake irudi ?

Kama ni vigumu kwenda kwenye Taasisi za fedha basi wafuate watu wanaokufahamu ili waweze kukuamini, ingawa kama una biashara Bank is the way to go
 
=36*500,000 = 18,000,000/=

Unakopa 10,000,000/- na kulipa mtaji wote 8,000,000/- kwa aliyekukopesha? ukiweka na gharama za uendeshaji.....ambazo lazima zimezidi 2,000,000/- hutaweza kulipa huo mkopo hadi unaingia kaburini......
 
Habari wana JF

Nina biashara yangu naendesha ivi sasa natafuta mtu wa kunikopesha Mil 10 then atanipa miezi mitatu Baada ya apo nitakuwa nampatia Laki tano (500,000) kila Mwezi kwa muda wa Miezi 36 (miaka 3).

Tafadhali wana JF tusaidiane Katika Hili,..:wacko:
Kama ungekua na collateral tungeongea biashara. Mambo hayo bila mdhamana au mdhamini u can forget abt that.
 
kwa nini usianze hiyo biashara yako kidogo kidogo? namaanisha ili ukuze mtaji kwanza hadi ufikie hapo?
My honest opinion, watu wanaotakaga hela za ghafla tu huwa hawafanikiwi kwenye maisha wala biashara. On a serious note, kweli ukopeshwe milioni 10 bila hata collateral ya kujuana? Manake walau kama mtu anakujua anakuaminia swaga zako kiasi inasaidia.

Kila la kheri. Risk takers ndio wanafanikiwa pia
 
ww wasema,najua umesahau tayari nina biashara na huo mkopo utachukua miaka 3...Kuwa makini na piga hesabu zako vizuri kabla huja comment

Mbona waonyesha hata kujieleza kwako ni shida? Mkuu,jenga hoja za maana ili mtu akikusoma between the line anajuwa kweli wewe ni mjasiliamali na unashida.

Note: wewe usijiite mfanyabiashara...jiite mjasiliamali kama sisi wengine hapa.
 
kwa nini usianze hiyo biashara yako kidogo kidogo? namaanisha ili ukuze mtaji kwanza hadi ufikie hapo?
My honest opinion, watu wanaotakaga hela za ghafla tu huwa hawafanikiwi kwenye maisha wala biashara. On a serious note, kweli ukopeshwe milioni 10 bila hata collateral ya kujuana? Manake walau kama mtu anakujua anakuaminia swaga zako kiasi inasaidia.

Kila la kheri. Risk takers ndio wanafanikiwa pia

Hata hivyo maelezo yake yananipa mashaka...anajielezea kama vile anafanya biashara ya uchuuzi wa kuuza karanga barabarani. Huyu nahisi atakuwa mchuuzi wa biashara ndogo ndogo na sasa anatafuta pesa ili aelekee kwenye ujasiliamali.
 
Acha kukariri ww unaejiita Million hair,mfanyabiashara ni mjasiliamali aliyekomaa so mfanya biashara ni mjasilia mali pia..

Take care..!
 
I know that...!
But remember sio kila simba anadhuru wengine ni wa maonesho..!
I mean sio kwamba imani imekwisha kwa wote.:cool2:
 
hahaha, hata akijieleza vizuri kiasi gani aisee. Humjui mtu, halafu hana collateral? Mie nikiazimwa 10 mil na mtu nisiemjua ntakataa afu naenda kusali novena, khaa!
Hata hivyo maelezo yake yananipa mashaka...anajielezea kama vile anafanya biashara ya uchuuzi wa kuuza karanga barabarani. Huyu nahisi atakuwa mchuuzi wa biashara ndogo ndogo na sasa anatafuta pesa ili aelekee kwenye ujasiliamali.
 
aisee ukipata unistue na mie. nimeutamani ujasiri ulio nao, utanipa mwongozo bestito
I know that...!
But remember sio kila simba anadhuru wengine ni wa maonesho..!
I mean sio kwamba imani imekwisha kwa wote.:cool2:
 
Habari wana JF

Nina biashara yangu naendesha ivi sasa natafuta mtu wa kunikopesha Mil
10 then atanipa miezi mitatu Baada ya apo nitakuwa nampatia Laki tano
(500,000) kila Mwezi kwa muda wa Miezi 36 (miaka 3).

Tafadhali wana JF tusaidiane Katika Hili,..:wacko:

Una Collateral gani? Ni PM kama unayo naweza kukusaidia ila isiwe gari.
 
Back
Top Bottom