No problem boss!! Natamani sana kuendelea but ukosefu wa pesa ndio umenizuia!.. Soo nadhani kitu pekee nachoweza fanya kwa sasa ni kujifua programming ili ikiwezekana badae inisomeshe!.
Kama unataka kujifunza Computer science au Software engineering au uka stick kama Programmer tu... Usiende chuo utapoteza mda wako
Kuna resources nyingi sana mtandaoni kuhusu Computer science, coding ambazo I wish ningekutana nazo kipindi nipo chuo
Vyuo vya kibongo haviwezi kufundisha Programming niamini hata kama unahisi nakudanganya
Tofauti ya CS au Programming na courses nyingine za sayansi ni kwamba inahitaji Ufundishwe kwa Practice zaidi kuliko theory
Na ufundishwe na mtu ambaye serious ana codes pia
Sio mtu anayewaachia assignment kibao, akiingia kwenye lecture ana force amalize slides
Lecture anakufundisha web programming,au Mysql kwa kuchora chora tu...aka code along...
Tunaishi kipindi kizuri sana cha internet....kuna resources nyingi mtandaoni tafuta
Njia pekee ya kujua codes ni ku code...
Pia nenda udemy, well experienced developers wapo pale wanatoa course zao
Usifundishwe codes na mtu ambae hana much practice kwenye code
Ma lecturers wa bongo wengi wapo hivyo