Natafuta Mtu wa kuniongoza Kwenye Front End (Web Developer)

Mi nimeelewa kuwa ulisoma digrii ndio masna nashangaa kumbe cheti. Basi ni sawa wewe kuwa shalow, jitahidi ukasome digrii.
Ulivyosema gpa ya 4. Nikajua umegonga kitivo.
Sorry mkuu!
No problem boss!! Natamani sana kuendelea but ukosefu wa pesa ndio umenizuia!.. Soo nadhani kitu pekee nachoweza fanya kwa sasa ni kujifua programming ili ikiwezekana badae inisomeshe!.
 
Jaribu open university wanaprogram nzuri na ada si kubwa na pracrical ndio utaenda chuoini muda mwingine utakuwa kazini kwako.
 
Nikapata iyo pesa nitaenda but kwa sasa nagombania pesa ya chakula maana ata iyo mda mwingine inanipiga chenga!. Wewe umesoma prog languages ngapi ukiachana na mark up lang
 
Vore Java as hobyst, japo sijaimaster kivile na juzi kati Python ila java ni ngumu sana , ina tu items twingi sana .
Jiunge "Edex" utakuwa unaptaa course free kwa introduction na kuchangia kwa full course.
Kama wewe ni kijana mdogo soma sana tena kozi nyingi uwezavyo, mi mi umri umeenda.
Board ya mikopo ipo kwa wasio na uwezo, usisubiri upate uwezo hutasoma labda kama huna vigezo vya kudahiliwa.
Kama upo under 30 una bahati kubwa kwa sababu ya internet.
 
No problem boss!! Natamani sana kuendelea but ukosefu wa pesa ndio umenizuia!.. Soo nadhani kitu pekee nachoweza fanya kwa sasa ni kujifua programming ili ikiwezekana badae inisomeshe!.
Kama unataka kujifunza Computer science au Software engineering au uka stick kama Programmer tu... Usiende chuo utapoteza mda wako

Kuna resources nyingi sana mtandaoni kuhusu Computer science, coding ambazo I wish ningekutana nazo kipindi nipo chuo

Vyuo vya kibongo haviwezi kufundisha Programming niamini hata kama unahisi nakudanganya

Tofauti ya CS au Programming na courses nyingine za sayansi ni kwamba inahitaji Ufundishwe kwa Practice zaidi kuliko theory

Na ufundishwe na mtu ambaye serious ana codes pia

Sio mtu anayewaachia assignment kibao, akiingia kwenye lecture ana force amalize slides

Lecture anakufundisha web programming,au Mysql kwa kuchora chora tu...aka code along...

Tunaishi kipindi kizuri sana cha internet....kuna resources nyingi mtandaoni tafuta

Njia pekee ya kujua codes ni ku code...
Pia nenda udemy, well experienced developers wapo pale wanatoa course zao

Usifundishwe codes na mtu ambae hana much practice kwenye code
Ma lecturers wa bongo wengi wapo hivyo
 
Vore Java as hobyst, japo sijaimaster kivile na juzi kati Python ila java ni ngumu sana , ina tu items twingi sana .
Jiunge "Edex" utakuwa unaptaa course free kwa introduction na kuchangia kwa full course.
Kama wewe ni kijana mdogo soma sana tena kozi nyingi uwezavyo, mi mi umri umeenda.
Board ya mikopo ipo kwa wasio na uwezo, usisubiri upate uwezo hutasoma labda kama huna vigezo vya kudahiliwa.
Kama upo under 30 una bahati kubwa kwa sababu ya internet.
Nimetoka kumwambia hapo juu
Hana haja ya kupoteza 1.5 M kila mwaka

Kuna best courses nyingi free au affordable kuliko ambazo atazipata vyuo vya kibongo
 
Kinacho fwata hapo ni Javascript ..lakin kabla hujasoma js hakikisha kwanza unazimaster hizo html na css kwa undani(zingatia sana hii hasa kama unataka kuwa front end dev).

Yani ukiwa na papara za kusoma vitu vingi utaishia kuwa empty!!

Tafuta website yeyote then itengeneze upya kwa kutumia html na css tu!!

Ukisha weza hapa then hamia kwenye js. Ukishindwa rudia mpaka uweze!!

Huo ndio mchango wangu kwako ngoja wengine waje!!
usimtishe, if, if he has time, he can master both.
 
Elimu ya Bongo ndio tatizo lake hili!! Watu wengi wanafeli chuo kutokana na kulundikiwa mambo mengi kwa wakati mmoja!. Mungu awasaidie tu wanachuo wa tz..
Hakuna watu wanarundikiwa mambo kama wazungu, tatizo la bongo ni ukosefu wa resources hasa vitabu na practical training opportunities hasa labs.

kozi za vyuo vya bongo zimekuwa copied huko nje na kuwa pasted hapa, bila kuangalia miundombinu ya kufundishia.
 
Tatizo lenu mkiwapata menta huwa mnakuwa wasumbufu hasa kwa wale wanaotaka vya bure, mimi ni shuhuda na naona wengi mko hivyo unaweza mwambia mtu fanya iki ndani ya muda fulani uje ionyeshe ili tufanye marekebisho akija hajafanya anakwambia niongezee muda halafu hata ela ya chai hana hawa wanafunzi wa aina hii ni tabu kweli, ukimtema anaanza kusumbua utafikiri wewe huna kazi za kufanya.

Muwe mnadhamiria, kama umebanwa na kazi zingine yanini ujisumbue kujua vitu ambavyo hata muda hauna.

Brother utapata wa kukumenta ila kama ni bure usiwe msumbufu na hata kama unatoa pesa angalia kama una muda kweli sio brah!

Kuna jamaa katoa tangazo la kufundisha programming nafikiri anza na huyo muulize kwanza.
 
Kama unataka kujifunza Computer science au Software engineering au uka stick kama Programmer tu... Usiende chuo utapoteza mda wako

Kuna resources nyingi sana mtandaoni kuhusu Computer science, coding ambazo I wish ningekutana nazo kipindi nipo chuo

Vyuo vya kibongo haviwezi kufundisha Programming niamini hata kama unahisi nakudanganya

Tofauti ya CS au Programming na courses nyingine za sayansi ni kwamba inahitaji Ufundishwe kwa Practice zaidi kuliko theory

Na ufundishwe na mtu ambaye serious ana codes pia

Sio mtu anayewaachia assignment kibao, akiingia kwenye lecture ana force amalize slides

Lecture anakufundisha web programming,au Mysql kwa kuchora chora tu...aka code along...

Tunaishi kipindi kizuri sana cha internet....kuna resources nyingi mtandaoni tafuta

Njia pekee ya kujua codes ni ku code...
Pia nenda udemy, well experienced developers wapo pale wanatoa course zao

Usifundishwe codes na mtu ambae hana much practice kwenye code
Ma lecturers wa bongo wengi wapo hivyo
Asante kaka! Nampango nikiwa comfortable na java script naingia php then my sql .. baada ya hapo napiga coz nyingine niwezavyo .. kama chuo labda niende kuchukua tu vyeti maana skuiz unaweza kuwa mtaalamu lakini ukaambiwa unatakiwa uwe na bachelor's degree
....
Lakini ntapambana mpaka niwe front end dev mkali kabla ya 2023...
 
Njia pekee ya kujua codes ni ku code...
Pia nenda udemy, well experienced developers wapo pale wanatoa course zao

Usifundishwe codes na mtu ambae hana much practice kwenye code
Ma lecturers wa bongo wengi wapo hivyo

Tuko pamoja mkuu.
Njia pekee ya kujua codes ni ku code...
 
Tatizo lenu mkiwapata menta huwa mnakuwa wasumbufu hasa kwa wale wanaotaka vya bure, mimi ni shuhuda na naona wengi mko hivyo unaweza mwambia mtu fanya iki ndani ya muda fulani uje ionyeshe ili tufanye marekebisho akija hajafanya anakwambia niongezee muda halafu hata ela ya chai hana hawa wanafunzi wa aina hii ni tabu kweli, ukimtema anaanza kusumbua utafikiri wewe huna kazi za kufanya.

Muwe mnadhamiria, kama umebanwa na kazi zingine yanini ujisumbue kujua vitu ambavyo hata muda hauna.

Brother utapata wa kukumenta ila kama ni bure usiwe msumbufu na hata kama unatoa pesa angalia kama una muda kweli sio brah!

Kuna jamaa katoa tangazo la kufundisha programming nafikiri anza na huyo muulize kwanza.
Binafsi naona Youtube ni njia nzuri zaidi kama mtu yupo serious!! Maana unajipangia mwenyewe ratiba.. nimepiga css na html kupitia youtube na js napiga now kupitia youtube... Amtafute Mike Dean wa code camp yule jamaa ni mwalimu mzuri sijawai ona.. sema awe anajua tu English vizuri basi.
 
Niaje Wadau?

Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh

Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe ana niguide
hey!! niko hapa
 
Back
Top Bottom