Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Mi nimeelewa kuwa ulisoma digrii ndio masna nashangaa kumbe cheti. Basi ni sawa wewe kuwa shalow, jitahidi ukasome digrii.Mzee elimu ngazi ya cheti mtu anasomea miaka mi 3 nchi gani hiyo?.
No problem boss!! Natamani sana kuendelea but ukosefu wa pesa ndio umenizuia!.. Soo nadhani kitu pekee nachoweza fanya kwa sasa ni kujifua programming ili ikiwezekana badae inisomeshe!.Mi nimeelewa kuwa ulisoma digrii ndio masna nashangaa kumbe cheti. Basi ni sawa wewe kuwa shalow, jitahidi ukasome digrii.
Ulivyosema gpa ya 4. Nikajua umegonga kitivo.
Sorry mkuu!
Jaribu open university wanaprogram nzuri na ada si kubwa na pracrical ndio utaenda chuoini muda mwingine utakuwa kazini kwako.No problem boss!! Natamani sana kuendelea but ukosefu wa pesa ndio umenizuia!.. Soo nadhani kitu pekee nachoweza fanya kwa sasa ni kujifua programming ili ikiwezekana badae inisomeshe!.
Nikapata iyo pesa nitaenda but kwa sasa nagombania pesa ya chakula maana ata iyo mda mwingine inanipiga chenga!. Wewe umesoma prog languages ngapi ukiachana na mark up langJaribu open university wanaprogram nzuri na ada si kubwa na pracrical ndio utaenda chuoini muda mwingine utakuwa kazini kwako.
Vore Java as hobyst, japo sijaimaster kivile na juzi kati Python ila java ni ngumu sana , ina tu items twingi sana .Nikapata iyo pesa nitaenda but kwa sasa nagombania pesa ya chakula maana ata iyo mda mwingine inanipiga chenga!. Wewe umesoma prog languages ngapi ukiachana na mark up lang
Kama unataka kujifunza Computer science au Software engineering au uka stick kama Programmer tu... Usiende chuo utapoteza mda wakoNo problem boss!! Natamani sana kuendelea but ukosefu wa pesa ndio umenizuia!.. Soo nadhani kitu pekee nachoweza fanya kwa sasa ni kujifua programming ili ikiwezekana badae inisomeshe!.
Nimetoka kumwambia hapo juuVore Java as hobyst, japo sijaimaster kivile na juzi kati Python ila java ni ngumu sana , ina tu items twingi sana .
Jiunge "Edex" utakuwa unaptaa course free kwa introduction na kuchangia kwa full course.
Kama wewe ni kijana mdogo soma sana tena kozi nyingi uwezavyo, mi mi umri umeenda.
Board ya mikopo ipo kwa wasio na uwezo, usisubiri upate uwezo hutasoma labda kama huna vigezo vya kudahiliwa.
Kama upo under 30 una bahati kubwa kwa sababu ya internet.
usimtishe, if, if he has time, he can master both.Kinacho fwata hapo ni Javascript ..lakin kabla hujasoma js hakikisha kwanza unazimaster hizo html na css kwa undani(zingatia sana hii hasa kama unataka kuwa front end dev).
Yani ukiwa na papara za kusoma vitu vingi utaishia kuwa empty!!
Tafuta website yeyote then itengeneze upya kwa kutumia html na css tu!!
Ukisha weza hapa then hamia kwenye js. Ukishindwa rudia mpaka uweze!!
Huo ndio mchango wangu kwako ngoja wengine waje!!
Hakuna watu wanarundikiwa mambo kama wazungu, tatizo la bongo ni ukosefu wa resources hasa vitabu na practical training opportunities hasa labs.Elimu ya Bongo ndio tatizo lake hili!! Watu wengi wanafeli chuo kutokana na kulundikiwa mambo mengi kwa wakati mmoja!. Mungu awasaidie tu wanachuo wa tz..
Asante kaka! Nampango nikiwa comfortable na java script naingia php then my sql .. baada ya hapo napiga coz nyingine niwezavyo .. kama chuo labda niende kuchukua tu vyeti maana skuiz unaweza kuwa mtaalamu lakini ukaambiwa unatakiwa uwe na bachelor's degreeKama unataka kujifunza Computer science au Software engineering au uka stick kama Programmer tu... Usiende chuo utapoteza mda wako
Kuna resources nyingi sana mtandaoni kuhusu Computer science, coding ambazo I wish ningekutana nazo kipindi nipo chuo
Vyuo vya kibongo haviwezi kufundisha Programming niamini hata kama unahisi nakudanganya
Tofauti ya CS au Programming na courses nyingine za sayansi ni kwamba inahitaji Ufundishwe kwa Practice zaidi kuliko theory
Na ufundishwe na mtu ambaye serious ana codes pia
Sio mtu anayewaachia assignment kibao, akiingia kwenye lecture ana force amalize slides
Lecture anakufundisha web programming,au Mysql kwa kuchora chora tu...aka code along...
Tunaishi kipindi kizuri sana cha internet....kuna resources nyingi mtandaoni tafuta
Njia pekee ya kujua codes ni ku code...
Pia nenda udemy, well experienced developers wapo pale wanatoa course zao
Usifundishwe codes na mtu ambae hana much practice kwenye code
Ma lecturers wa bongo wengi wapo hivyo
Njia pekee ya kujua codes ni ku code...
Pia nenda udemy, well experienced developers wapo pale wanatoa course zao
Usifundishwe codes na mtu ambae hana much practice kwenye code
Ma lecturers wa bongo wengi wapo hivyo
Binafsi naona Youtube ni njia nzuri zaidi kama mtu yupo serious!! Maana unajipangia mwenyewe ratiba.. nimepiga css na html kupitia youtube na js napiga now kupitia youtube... Amtafute Mike Dean wa code camp yule jamaa ni mwalimu mzuri sijawai ona.. sema awe anajua tu English vizuri basi.Tatizo lenu mkiwapata menta huwa mnakuwa wasumbufu hasa kwa wale wanaotaka vya bure, mimi ni shuhuda na naona wengi mko hivyo unaweza mwambia mtu fanya iki ndani ya muda fulani uje ionyeshe ili tufanye marekebisho akija hajafanya anakwambia niongezee muda halafu hata ela ya chai hana hawa wanafunzi wa aina hii ni tabu kweli, ukimtema anaanza kusumbua utafikiri wewe huna kazi za kufanya.
Muwe mnadhamiria, kama umebanwa na kazi zingine yanini ujisumbue kujua vitu ambavyo hata muda hauna.
Brother utapata wa kukumenta ila kama ni bure usiwe msumbufu na hata kama unatoa pesa angalia kama una muda kweli sio brah!
Kuna jamaa katoa tangazo la kufundisha programming nafikiri anza na huyo muulize kwanza.
hey!! niko hapaNiaje Wadau?
Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh
Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe ana niguide