Natafuta Mtu wa kuniongoza Kwenye Front End (Web Developer)

Mika255

New Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
3
Reaction score
3
Niaje Wadau?

Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh

Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe ana niguide
 
Niaje Wadau?
Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh...
Kinacho fwata hapo ni Javascript ..lakin kabla hujasoma js hakikisha kwanza unazimaster hizo html na css kwa undani(zingatia sana hii hasa kama unataka kuwa front end dev).

Yani ukiwa na papara za kusoma vitu vingi utaishia kuwa empty!!

Tafuta website yeyote then itengeneze upya kwa kutumia html na css tu!!

Ukisha weza hapa then hamia kwenye js. Ukishindwa rudia mpaka uweze!!

Huo ndio mchango wangu kwako ngoja wengine waje!!
 
Kinacho fwata hapo ni ni Javascript ..lakin kabla hujasomq js hakikisha kwanza unazimaster hizo html na css kwa undani. Yani ukiwa na papara za kusoma vitu vingi utaishia kiwa empty!
Uko serious na maisha Upepo?
 
Niaje Wadau?
Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh

Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe ana niguide
Karibu chief muda wako tu.
 
Kinacho fwata hapo ni Javascript ..lakin kabla hujasoma js hakikisha kwanza unazimaster hizo html na css kwa undani(zingatia sana hii hasa kama unataka kuwa front end dev)...
Hapo ndio nilikua nahitaji guidance mkuu
 
Niaje Wadau?
Nilikua Natafta Mtu anaejua Web Development Fresh Ani Guide ili niweze kuielewa fresh

Nimeisha nunua course ya HTML & CSS Ya Brad Traversy Kwaiyo Nahitaji Mtu ambae yuko fresh awe ana niguide
Umeandaa na kitita cha kumlipa muda wake au ndio kibongo bongo nisaidie kuchimba dhahabu bure tukiipata yangu?
 
Kama alivyosema Upepo. Front end ni lazima ujue HTML, CSS na JavaScript vizuri. Yaani ECMA zote ni vyema kuazijua.

Then kwa utendaji ni lazima ujue angalau JS framework moja, ninge suggest Vue.js

Kila la kheri!
 
Hapo ndio nilikua nahitaji guidance mkuu
Pamoja na posti yangu ya awali, ukiwa umeweka nguvu kunwa kwenye html na css pia anza taratibu kujifunza jinsi ya kutumia github... kama kawaida kila kitu utakikuta youtube!

Kila la kheri!!
 
Nicheki 0748333586
If you're interested
All the best mkuu!! Mi nipo na cheti tu cha Computer science japo kina GPA ya 4.17 na niko vzr kwenye software kuanzia computer mpaka simu!! lakini ajira inekuwa gumzo maana watu wanataka diploma na degree [emoji29]!! Nimeanza kujifua kwenye web development na sasa nakaribia kuanza kujifua java script maana CSS namalizia kujifua kwa kufanya projects tofauti na cloning other websites!! Soko la ajira linaumiza sana [emoji52][emoji52] lakini unaweza jifua vzr, kitu nnacho weza kukusaidia ni kuku link kwa mwalimu wangu anaitwa Mike Dean kutoka codecamp, mcheki YouTube.. So again! All the best..
 
Kinacho fwata hapo ni Javascript ..lakin kabla hujasoma js hakikisha kwanza unazimaster hizo html na css kwa undani(zingatia sana hii hasa kama unataka kuwa front end dev).

Yani ukiwa na papara za kusoma vitu vingi utaishia kuwa empty!!

Tafuta website yeyote then itengeneze upya kwa kutumia html na css tu!!

Ukisha weza hapa then hamia kwenye js. Ukishindwa rudia mpaka uweze!!

Huo ndio mchango wangu kwako ngoja wengine waje!!
Kinacho fwata hapo ni Javascript ..lakin kabla hujasoma js hakikisha kwanza unazimaster hizo html na css kwa undani(zingatia sana hii hasa kama unataka kuwa front end dev).

Yani ukiwa na papara za kusoma vitu vingi utaishia kuwa empty!!

Tafuta website yeyote then itengeneze upya kwa kutumia html na css tu!!

Ukisha weza hapa then hamia kwenye js. Ukishindwa rudia mpaka uweze!!

Huo ndio mchango wangu kwako ngoja wengine waje!!
Html huwa naifananisha na program za office za macrosoft.
Word na excel sioni tofauti kubwa sijui waliosoma cs wanaonaje.
Kwa mtu anaeua programs za office html ni wiki tu kama yupo full time learning at least 4hours per day .
Kama hana mda sana basi wiki mbili zamtosha, sijaona kitu kigumu cha kumsumbua mtu. CSS with hard work mwezi unamtosha.
Kuzifanyia project hapo ndio muda wa kutosha kama miezi 2,. Hivyo within 6months anaweza kudevelop website nzuri sana.
 
All the best mkuu!! Mi nipo na cheti tu cha Computer science japo kina GPA ya 4.17 na niko vzr kwenye software kuanzia computer mpaka simu!! lakini ajira inekuwa gumzo maana watu wanataka diploma na degree [emoji29]!! Nimeanza kujifua kwenye web development na sasa nakaribia kuanza kujifua java script maana CSS namalizia kujifua kwa kufanya projects tofauti na cloning other websites!! Soko la ajira linaumiza sana [emoji52][emoji52] lakini unaweza jifua vzr, kitu nnacho weza kukusaidia ni kuku link kwa mwalimu wangu anaitwa Mike Dean kutoka codecamp, mcheki YouTube.. So again! All the best..
Una cheti cha CS na GPA ta4. halafu unajifua CSS. Sijakuelewa mkuu.
Ulisoma chuo gani wewe?
 
We sio mtanzania nn? Computer science ya kibongo ni mwendo wa handout kwa kwenda mbele , vitendo hakuna unaweza kusoma miaka mitatu na still ukawa hujui mambo mengi mno
Mi nimtanzania na kuelewa hilo nilikuwa nashinda you tube na kuwasililiza nguli wa MIT na yale nilipokuwa chuo .
Kuna mjapani mmoja ndio alinifanya nijue qm vizuri
Kuna mzee anajua ku demonstrate phyics hakuna wa mfano wake sl
anaitwa Dr.lewis wa MIT.
Sasa wewe kama uligundua hilo tatizo kisha ukalilea tu mpaka mwaka wa 3 ina ma na hukuwa serious.
Ungeniambia syllabus haikuwa na css ningekuelewa ila eti proff hakuwapika vizuri hapo unakosa, kubali kataa.
Isitoshe css na html ni raisi sana japo mi si coputer scientist nilisoma kwa mda mfupi sana.
Yani mtu serious kwa html wiki mbili unaunda website ila kudumbukiza css code ndio kidogo itamchukua muda labda mwezi.
JAVA,C++ ndio baba lao mi mwenyewe nimenyoosha mikono.
 
Una cheti cha CS na GPA ta4. halafu unajifua CSS. Sijakuelewa mkuu.
Ulisoma chuo gani wewe?
Mzee elimu ngazi ya cheti sio sawa na diploma au degree!! Upande wa code lecture wetu alifundisha html afu css akapita na 100!! Yaani ata hivi nimemaliza coz ya css kwa kujifunza mwenyewe tu!! And now nimeanza java script siku ya 3 leo, maswala ya variables na strings!!.kiufupi akili yangu iko nyepesi sana kwenyw haya maswala sijui kwann maana wengine wanateseka sana lakini mimi naona kama nikisoma tu na ku practise chap tu naelewa, mpaka sometimes nahisi kama kuna kitu labda nakosea maana haiwez kuwa rahisi hivi!. Nime clone websites na mwisho nika malizia na ku clone facebook log in page.
 
Mi nimtanzania na kuelewa hilo nilikuwa nashinda you tube na kuwasililiza nguli wa MIT na yale nilipokuwa chuo .
Kuna mjapani mmoja ndio alinifanya nijue qm vizuri
Kuna mzee anajua ku demonstrate phyics hakuna wa mfano wake sl
anaitwa Dr.lewis wa MIT.
Sasa wewe kama uligundua hilo tatizo kisha ukalilea tu mpaka mwaka wa 3 ina ma na hukuwa serious.
Ungeniambia syllabus haikuwa na css ningekuelewa ila eti proff hakuwapika vizuri hapo unakosa, kubali kataa.
Isitoshe css na html ni raisi sana japo mi si coputer scientist nilisoma kwa mda mfupi sana.
Yani mtu serious kwa html wiki mbili unaunda website ila kudumbukiza css code ndio kidogo itamchukua muda labda mwezi.
JAVA,C++ ndio baba lao mi mwenyewe nimenyoosha mikono.
Mzee elimu ngazi ya cheti mtu anasomea miaka mi 3 nchi gani hiyo?.
 
Mzee elimu ngazi ya cheti sio sawa na diploma au degree!! Upande wa code lecture wetu alifundisha html afu css akapita na 100!! Yaani ata hivi nimemaliza coz ya css kwa kujifunza mwenyewe tu!! And now nimeanza java script siku ya 3 leo, maswala ya variables na strings!!.kiufupi akili yangu iko nyepesi sana kwenyw haya maswala sijui kwann maana wengine wanateseka sana lakini mimi naona kama nikisoma tu na ku practise chap tu naelewa, mpaka sometimes nahisi kama kuna kitu labda nakosea maana haiwez kuwa rahisi hivi!. Nime clone websites na mwisho nika malizia na ku clone facebook log in page.i naona
Mi naona mlipendelewa kabisa yani mlifundishwa, ingebidi awape tu projec kama assignment.
Nenda Chuo baba hapo Dar ulizia wanafunzi wa physics kwamba dr. wao huwa anagonga slide ngapi kwa lecture moja.
Yani huyo lecture hugonga slide 45+ kwa dk 45. Hio ni electromagetism.
Ukiwa sayansi student lazima uwe na fast learning ability vinginevyo utadisco .
 
Elimu ya Bongo ndio tatizo lake hili!! Watu wengi wanafeli chuo kutokana na kulundikiwa mambo mengi kwa wakati mmoja!. Mungu awasaidie tu wanachuo wa tz..
 
Back
Top Bottom