Natafuta mtu wa kunisaidia kupata matunda ya huu mti. Jina ni MKWAMBA/MUWAKAWAKA

Natafuta mtu wa kunisaidia kupata matunda ya huu mti. Jina ni MKWAMBA/MUWAKAWAKA

Bigmaaan

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
306
Reaction score
699
Salam wakuu.

Ninahitaji mtu wa kunisaidia kupata matunda yake. Mwenye access nao naomba anicheck DM. Nina uhitaji kwa ajili ya matibabu.
Screenshot_20250205-023434.png
 
Sawa mkuu! Lakini umejaribu hosp. Zote matibabu ya kupooza mwili yakashindikana? Kama bado hamjampeleka,basi nashauri aende kwanza huko,matibabu wakati yakiendelea ya kitabibu bc na hayo madawa yenu muyatumia kama second option.
 
You're right. Na ndicho kinachofanyika. We want to go with both.
 
Nimekusaidia ili wanaoufahamu wautambue kwa urahisi na usaidike.
 
Attachments

  • E312E307-44FD-4478-8219-1FF226245211.jpeg
    E312E307-44FD-4478-8219-1FF226245211.jpeg
    277.6 KB · Views: 1
  • 81FA1477-D696-4742-B45D-E0A0ABD29FAD.jpeg
    81FA1477-D696-4742-B45D-E0A0ABD29FAD.jpeg
    345.7 KB · Views: 1
  • 94CF0EF3-C4A5-4CEE-9000-6616593C457F.jpeg
    94CF0EF3-C4A5-4CEE-9000-6616593C457F.jpeg
    418.7 KB · Views: 3
  • E6918117-1191-46C9-BB45-5CED87F5DF87.jpeg
    E6918117-1191-46C9-BB45-5CED87F5DF87.jpeg
    351.9 KB · Views: 2
Majani yake uwa yanarudisha nyota iliyopotea na kuongeza mvuto wa mtu ndo maana ukaitwa muwakawaka.

Kumbe ni mti tajiri kiasi hiki
 
Attachments

  • 29383C6B-67E5-4E8C-BB57-0688737D7585.jpeg
    29383C6B-67E5-4E8C-BB57-0688737D7585.jpeg
    220 KB · Views: 2
Back
Top Bottom