Natafuta mtu wa kunisaidia kupata matunda ya huu mti. Jina ni MKWAMBA/MUWAKAWAKA

Natafuta mtu wa kunisaidia kupata matunda ya huu mti. Jina ni MKWAMBA/MUWAKAWAKA

Nenda maeneo ya Dondwe Ipo kibao au Mvuti pale makabulini Ipo ya kutosha Sana au Kitonga Ile njia ya kupeleka Kutokea Mkulanga kabla hujafika wanakochimba mchanga
 
Back
Top Bottom