Yako Morogoro gayoSalam wakuu.
Ninahitaji mtu wa kunisaidia kupata matunda yake. Mwenye access nao naomba anicheck DM. Nina uhitaji kwa ajili ya matibabu.View attachment 3225648
You're right. Na ndicho kinachofanyika. We want to go with both.Sawa mkuu! Lakini umejaribu hosp. Zote matibabu ya kupooza mwili yakashindikana? Kama bado hamjampeleka,basi nashauri aende kwanza huko,matibabu wakati yakiendelea ya kitabibu bc na hayo madawa yenu muyatumia kama second option.
Majani yake uwa yanarudisha nyota iliyopotea na kuongeza mvuto wa mtu ndo maana ukaitwa muwakawaka.