Miti hiyo ipo mingi sanaa, kama uko Dar es Salaam na ukanda wa pwani nitafute nikusaidie pakuyapata.
Pia usipende kutumia dawa kwa kusikia vyema ukawashirikisha wataalamu husika
Nenda maeneo ya Dondwe Ipo kibao au Mvuti pale makabulini Ipo ya kutosha Sana au Kitonga Ile njia ya kupeleka Kutokea Mkulanga kabla hujafika wanakochimba mchanga