Hivi morogoro kuna biashara nzuri? Mbona kama mi napaona mzunguko wa hela ni mdogo sana....any ways mjasiriamali mzuri ni yule anayeona fursa kwa jicho la tatuDaaa mpk imeniuma hii kitu, juz juz tu hapa nimeandika humu natafuta mtu wa kupiga nae bussiness awe na angalau 4M Moro au tanga nikiwa na full bussines plan iliyosimama sikupata mtu, mwishowe hela kuogopa kuitumia nikaiwekeza kwenye ka kijiwanja. Ila yote n mipango, all the best Moro n sehem nzur sana.
Moro panalipa mkuu, sisemi kwa kuhisi nimefanya biashara moro mpk nilivyohama ndo nikahama nayo maana nilikosa mwaminifu wa kumuachia, cha msingi biashara yako either iwe unique au uifanye/uiendeshe kisomi hapo utawinHivi morogoro kuna biashara nzuri? Mbona kama mi napaona mzunguko wa hela ni mdogo sana....any ways mjasiriamali mzuri ni yule anayeona fursa kwa jicho la tatu
Utakuwa mwanaume wa Dar bila shaka!Dar wanasema kuna mzunguko wa pesa lakini watu wanalala njaaHivi morogoro kuna biashara nzuri? Mbona kama mi napaona mzunguko wa hela ni mdogo sana....any ways mjasiriamali mzuri ni yule anayeona fursa kwa jicho la tatu
Usamehewe bureUtakuwa mwanaume wa Dar bila shaka!Dar wanasema kuna mzunguko wa pesa lakini watu wanalala njaa
Usamehewe bure
Mkuu nkiomba kaufafanuzi au kamaelezo kuhusu vitu vinavyolipa hapo moro unaweza kuniambiamoro panalipa mkuu, sisemi kwa kuhisi nimefanya biashara moro mpk nilivyohama ndo nikahama nayo maana nilikosa mwaminifu wa kumuachia, cha msingi biashara yako either iwe unique au uifanye/uiendeshe kisomi hapo utawin
Samahan kwa kuchelewa kukujb Mkuu ni majukumu yalibana, pale n biashara ya chakula na vinywaji, ilaMkuu nkiomba kaufafanuzi au kamaelezo kuhusu vitu vinavyolipa hapo moro unaweza kuniambia
Hivi morogoro kuna biashara nzuri? Mbona kama mi napaona mzunguko wa hela ni mdogo sana....any ways mjasiriamali mzuri ni yule anayeona fursa kwa jicho la tatu
upo moro?moro kuna mzunguko mdogo sana tu wa biashara ila ukikaza unatusua... panaboa kibiashara maana watu wengi wknd wanaenda dar
upo moro?
Story nzima toka Ijumaa naifuatilia ila nakua na kigugumizi cha mtaji tu. Mimi nipo Moro ninakabiashara cha Mgahawa mjini kati jirani na stand ya Hiace, napenda sana Biashara ila msukumo ndio bado sijaupata wa kunionyesha njia ya kutoboa
Ukiachana na chakula... Ni bashara gani tena moro inalipa wakuu...?
Thank you.. Vipi kuhusukwa mawazo yangu mm nadhan biashara ya bar.. i mean iwe na club hapo hapo..samaki samaki anapiga bao daily..yan iwe classic. walau ukaribiane na blak n white...
2.nafaka
Thank you.. Vipi kuhusu
1. Duka pembejeo, chakula cha mifugo na madawa
Duka la dawa muhimu
Kwa uzoefu wako morogoro