Natafuta mtu wa kushirikiana Biashara Morogoro

Natafuta mtu wa kushirikiana Biashara Morogoro

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
habari
Kuna rafiki yangu (mwanamme) amehamia Moro anahitaji mtu wa kuchangia Mtaji wafanye Biashara
Anayetakiwa;
  • Awe na Biashara au wazo zuri la Biashara inayo weza kufanyika Morogoro
  • Awe na mtaji usio pungua shs 5mil
  • Au mtu wa kumshauri Biashara ya kufanya Morogoro kwa mtaji wa shs 7Mil hivi
Kama upo tayari pm

Asanteni
 
Daaa mpk imeniuma hii kitu, juz juz tu hapa nimeandika humu natafuta mtu wa kupiga nae bussiness awe na angalau 4M Moro au tanga nikiwa na full bussines plan iliyosimama sikupata mtu, mwishowe hela kuogopa kuitumia nikaiwekeza kwenye ka kijiwanja. Ila yote n mipango, all the best Moro n sehem nzur sana.
 
Hivi morogoro kuna biashara nzuri? Mbona kama mi napaona mzunguko wa hela ni mdogo sana....any ways mjasiriamali mzuri ni yule anayeona fursa kwa jicho la tatu
 
Hivi morogoro kuna biashara nzuri? Mbona kama mi napaona mzunguko wa hela ni mdogo sana....any ways mjasiriamali mzuri ni yule anayeona fursa kwa jicho la tatu
Moro panalipa mkuu, sisemi kwa kuhisi nimefanya biashara moro mpk nilivyohama ndo nikahama nayo maana nilikosa mwaminifu wa kumuachia, cha msingi biashara yako either iwe unique au uifanye/uiendeshe kisomi hapo utawin
 
Hivi morogoro kuna biashara nzuri? Mbona kama mi napaona mzunguko wa hela ni mdogo sana....any ways mjasiriamali mzuri ni yule anayeona fursa kwa jicho la tatu
Utakuwa mwanaume wa Dar bila shaka!Dar wanasema kuna mzunguko wa pesa lakini watu wanalala njaa
 
Usamehewe bure
moro panalipa mkuu, sisemi kwa kuhisi nimefanya biashara moro mpk nilivyohama ndo nikahama nayo maana nilikosa mwaminifu wa kumuachia, cha msingi biashara yako either iwe unique au uifanye/uiendeshe kisomi hapo utawin
Mkuu nkiomba kaufafanuzi au kamaelezo kuhusu vitu vinavyolipa hapo moro unaweza kuniambia
 
Mkuu nkiomba kaufafanuzi au kamaelezo kuhusu vitu vinavyolipa hapo moro unaweza kuniambia
Samahan kwa kuchelewa kukujb Mkuu ni majukumu yalibana, pale n biashara ya chakula na vinywaji, ila
Mimi kwa niliyoona inalipa sana ni Cafe ya natural eats and drinks kama juice za kutengeneza, salads, matunda kwa ujumla hapa n kwa mda wa mchana, asubhi hasa kwa wasafiri ni bites na snacks aina nyingi, maziwa, kahawa, uji wa lishe, tangawizi, yan hapa nazungumzia vile vitu ambavyo unaandaa mwenyewe halaf unauza, sio unanunua halaf unauza kama kilivyo, na kumbuka hapa sizungumzii HOTEL, nazungumzia Cafe(vitafunywa/bites na vinywaji vya asili) na sio chakula, biashara katika dunia ya leo jitahd u specialize katika kitu maalum na sio kufanya kila kitu. Wateja wangu wakubwa n Wanafunzi, Wasafiri, Wafanyabiashara, waongozaji wa vyombo vya usafiri na mwingne yeyote ambaye anahtaj huduma ya haraka, hio n summary tuu na ninaongea hvyo kwa uzoefu sio kwa kubeti, namna ya uendeshaji na kuwapata wateja niwe tu muwazi hapa sitasema, maana hapo ndo utofaut wa biashara yangu na mwingne anayefanya kama yangu huja, na hapo ndio patamu, unless otherwise tubadilishane mawazo(unipe idea yako nawe) au tufanye corrabo. ila kwa mjanja mpk hapo ashapata kitu nikujiongeza tuu.
 
Hivi morogoro kuna biashara nzuri? Mbona kama mi napaona mzunguko wa hela ni mdogo sana....any ways mjasiriamali mzuri ni yule anayeona fursa kwa jicho la tatu

moro kuna mzunguko mdogo sana tu wa biashara ila ukikaza unatusua... panaboa kibiashara maana watu wengi wknd wanaenda dar
 
Story nzima toka Ijumaa naifuatilia ila nakua na kigugumizi cha mtaji tu. Mimi nipo Moro ninakabiashara cha Mgahawa mjini kati jirani na stand ya Hiace, napenda sana Biashara ila msukumo ndio bado sijaupata wa kunionyesha njia ya kutoboa
 
hongera.. hata mm nimepata area veta na mazimbu road za kufanya hyo ya chakula...ukikaza unatoka..tatizo la biashara za vyakula wanapika ili.mradi tu..hakuna ubunifu..!
 
Ukiachana na chakula... Ni bashara gani tena moro inalipa wakuu...?

kwa mawazo yangu mm nadhan biashara ya bar.. i mean iwe na club hapo hapo..samaki samaki anapiga bao daily..yan iwe classic. walau ukaribiane na blak n white...
2.nafaka
 
kwa mawazo yangu mm nadhan biashara ya bar.. i mean iwe na club hapo hapo..samaki samaki anapiga bao daily..yan iwe classic. walau ukaribiane na blak n white...
2.nafaka
Thank you.. Vipi kuhusu
1. Duka pembejeo, chakula cha mifugo na madawa
Duka la dawa muhimu

Kwa uzoefu wako morogoro
 
Back
Top Bottom