The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kama kichwa kilivyojieleza nahitaji mtu wa kusogeza naye siku kama tutaridhiana tunaweza kuamua kudumu na kufata taratibu zingine.
Sifa za nimtakae
Kubwa katika yote awe tayari kucheck HIV na tutacheck tena after 3 month ili kuhakikisha usalama wetu halafu mengineyo yatafata
Asiwe mnywa pombe wala mvuta sigara wala mpenda starehe kama kwenda sehemu za club.
Dini- Mkristu
Age- 28-32
Rangi- Maji ya kunde
Elimu awe na diploma au degree itapendeza zaidi.
Kazi- Kaajiriwa/Kajiajiri
Sifa zangu
Mkristu,umri 24,elimu degree rangi mweusi ,mrefu ,uzuri wa sura na umbo nipo kawaida sana.
Kunifahamu zaidi njoo pm.
Inaonekana umezaliwa mwaka 1993....halafu unasema una 24?