Natafuta mtu wa kusogeza naye siku



Inaonekana umezaliwa mwaka 1993....halafu unasema una 24?
 
Upuuzi mtupu.

JamiiForums Moderator hizi thread za hivi ni za kufuta. Kuna watu wapo serious wanatafuta wachumba/wake/waume hawapati kisa upuuzi upuuzi tu.
Upuuzi ni upi it's better niliyeamua kuweka ukweli kuliko wanaoweka thread za kudanganya watu daily na kilichonisukuma kikubwa cause ya upweke nilionao na stress zinazonisumbua so nahitaji mtu wa kunisaidia kurecover kama tutaona huko mbeleni tumeliziana tunaweza endelea ikishindikana tutabreak up usichoelewa wewe ni kipi.
 
Niamini mimi migodi inaisha madini huu ni upuuzi.
 
Huwa nakuelewa.. keep it up.

I'm in love with you. Baadae ndiyo wa kuja kulalamika ooh Jf watu wahuni usitafute mwanaume/mwanamke humu. Ni upuuzi.
Aww! my kaka loves meeee hureeeeeeeee love ya tooooo.

Huyo yupo kazini mbona, kama hawajamshtukia watalizwa wengi tu.
 
Aww! my kaka loves meeee hureeeeeeeee love ya tooooo.

Huyo yupo kazini mbona, kama hawajamshtukia watalizwa wengi tu.
Sio aina hiyo ya msichana sio tapeli na wala sitarajii kuwa tapeli
 
Umri mamaa... Nipo mchangaa kbd 22 aged... Nije pm?
 
wakusogeza siku bado unataka na umri, na kazi na elimu lol,
wewe ungesema natafuta mwanaume mashine mwenye akili timamu baasi.

ndio mnaojilengesha mimba ndiii ndoa zisizo na matarajio baadae vilio msitafute wachumba Jf. kwi kwi kwi.
Una akili Sana,hivi Umesoma nchi ngani?unapaswa Kuwa mwalimu Hata Mimi Kilaza nimekuelewa , niruhusu niwe mwanafunzi Wako naamini utanifundisha Mengi zaidi!
 
Mkuu, hao aliosoma nao hawamo mitandaoni? Hao wa mtaani je nao hawapo mitandaoni? Nadhani hii ni sehemu tu kama sehemu zingine, mitaani, kanisani, barabarani n.k
Mkuu beingsingle,

Heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika.

Mwenzako anayo hidden agenda. Kuna kitu hakiko sawa anaficha.

Mfano kuna swali kaulizwa zaidi ya mara kumi ikawa ngumu kujibu, Je ana kazi? Kazi haitakuwa kigezo kikubwa lakini kwanini hajajibu.

Mtandao huu tulioko ni majina ya kalamu, yaani hata wewe sikujui na mimi hunijui, pengine we are cousins or something. Basi angeenda mtandao ambao kila swala liko wazi mfano picha, majina kamili na marafiki zake. Anaogopa sababu the real her ataonekana.

Na huyo huyo real her anaemficha ndio kamnyima soko in real world huko. Kuna haja gani ya kwenda kilometre saba kununua sukari ya quality iile ile na bei ile ile kama iliyoko dukani kwa Mangi just next door?

Siongei haya kwa nia ya kumpondea, Hapana. Nasema haya ili yamsaidie kujua nini haswa shida yake, and trust me asipoijua na kuikabili hata hao ataowatoa huku badala ya kusogeza siku watamsogezea kilio, au yeye awasogezee presha.

Once again Heri ya sikukuu ya Uhuru
 
Hiyo sifa ya diploma na degree ndiyo shughul,utadhani nahitaji kuajiriwa mkuu,sijajua kama elimu ndiyo maisha ilhal naamini unaweza ukawa na elimu lakin ukawa haujaelimika anyway nisiseme sana,ngoja waje wenye sifa stahiki
 
Una akili Sana,hivi Umesoma nchi ngani?unapaswa Kuwa mwalimu Hata Mimi Kilaza nimekuelewa , niruhusu niwe mwanafunzi Wako naamini utanifundisha Mengi zaidi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ok mi ni mwanafunzi now nachukua masters bado sijaanza kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…