DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Bila Picha hii ni kauli ya kichocheziMimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .
Ahsante.
Sasa tutaanza kuwatia Kamba hapa Jf maana mnakoelekea Huko sio kwema 😅😅😅😅Mkristo wa ukweli mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu ni Muislam.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wee bib Ni nyokoKuna Imam wa msikitini anatafuta mke wa pili, kama upo tayari nikuoze.
Tena na kazi atakupatia hapohapo msikitini.
Mcha Mungu, halewi, havuti sigara, yeye ni mkulima na Imam wa msikitini. Nikuunganishie Mkuranga hiyo, tena utakuwa jirani yangu, maana yeye ndiyo Imam wa msikitini kwetu hapa.
Kumbe unaishi Mkuranga? Sehemu gani?Kuna Imam wa msikitini anatafuta mke wa pili, kama upo tayari nikuoze.
Tena na kazi atakupatia hapohapo msikitini.
Mcha Mungu, halewi, havuti sigara, yeye ni mkulima na Imam wa msikitini. Nikuunganishie Mkuranga hiyo, tena utakuwa jirani yangu, maana yeye ndiyo Imam wa msikitini kwetu hapa.
Kelsea acha hivo basi ....Kama upo serious na jambo lako usilete JF. Humu imejaa mizaha tu, pole sana mleta tangazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila picha huu Uzi "UFUNGWE"Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .
Ahsante.
Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .
Ahsante.
Ningekufaa ila nakunywa pombeMimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.
Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .
Ahsante.
AchaNingekufaa ila nakunywa pombe
Tatizo Mimi nimezidi umri hapo kidogoMimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.