Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.
Ungepiga hata picha kuanzia shingoni
Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .

Ahsante.
Kuna wengine ni below that age with real love and commitment to marriage
 
Nani alikuambia nataka kuolewa mke wa pili? Mtafutie ustadhati umpelekee sawa wewe keeee.....
Duhh FaizaFoxy leo kapewa makavu laivu,na kavuliwa nguo zote. Sasa,hii ndoa itawezekana kweli? Si mwanaume atakua anaambiwa yule mbwa baba yako kapiga simu anakuulizia!!!
 
Hiyo laana ya nini?
Uislam ni mwemza sana na ndiyo aliufata Yesu. Yesu alikuwa Muislam kijana.

Wewe hufati mafundisho ya Yesu, ungefata mafundisho ya Yesu ungekuwa Muislam.

Wapi Yesu alikwambia uwe "mkristo"?
 
Kama bado haujapata kuna mstaafu mwenzangu anatafuta mke.
Pesa anayo + hanywi pombe na wala hana mpango wa kuzaa tena.
 
Uislam ni mwemza sana na ndiyo aliufata Yesu. Yesu alikuwa Muislam kijana.

Wewe hufati mafundisho ya Yesu, ungefata mafundisho ya Yesu ungekuwa Muislam.

Wapi Yesu alikwambia uwe "mkristo"?
Wewe na mumeo mkiwa waislamu inatosha.
 
Uislam ni mwemza sana na ndiyo aliufata Yesu. Yesu alikuwa Muislam kijana.

Wewe hufati mafundisho ya Yesu, ungefata mafundisho ya Yesu ungekuwa Muislam.

Wapi Yesu alikwambia uwe "mkristo"?
Yesu huyo ndo nani na anahusika vipi na maisha yangu? Sijaongelea huyo mjama
 
Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .

Ahsante.
Tafuta mume atakayekupenda na siyo mwenye hofu ya Mungu
 
Back
Top Bottom