Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

Kwa ukali ndo maana bado anapuyanga na hiyo 36
Waone mnamtesa mwenzenu sura mbaya kama mr bean🤣🤣🤣 mwenyewe upo single kuanzia 70 hadi waleo unamsema mwenzenu na vile viatu vyenu kama greda za tanroads
 
Kabla sijatoa comments zangu zilizotukuka hebu ongeza umri angalau miaka 60. Are serious unatafuta mume? Huyo mwanao ni wa kike au wa kiume? Baba yake yupo hai au? Vipi ukipata mume hutakuwa msaliti? Unataka uolewe kwa staili ipi, kuvutawa, bomani au kanisani? Unasali kanisa gani? Unafanya kazi singida kampuni/taasisi gani? Una umri mzuri, mtu mzima uliyekomaa ki akili natumaini hutasumbua ndoani. Hebu nitafute pm tuyajenge, kupata mwenza mitandaoni imekuwa kawaida. Singida si mbali nitakuja fasta tuonane laivu kama kweli unataka mume umeshapata jiachie pm
 
Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .

Ahsante.
Just text me through 073804171
 
Kuna Imam wa msikitini anatafuta mke wa pili, kama upo tayari nikuoze.

Tena na kazi atakupatia hapohapo msikitini.

Mcha Mungu, halewi, havuti sigara, yeye ni mkulima na Imam wa msikitini. Nikuunganishie Mkuranga hiyo, tena utakuwa jirani yangu, maana yeye ndiyo Imam wa msikitini kwetu hapa.
Je hatoomba jicho?
 
Ps kukaa kote front umekosaje kuolewa mapema, we taaluma ujatendea haki, chuo ulichosoma au hamjaelekezwa jinsi ya kupaka wanja vizuri.?
 
Back
Top Bottom