Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii pombe.

Natafuta mchumba/mume, umri miaka 37-40, awe Mkristo, mwenye hofu ya Mungu, mwenye kazi yoyote halali yenye kipato kizuri, mpenda maendeleo, kabila lolote, asiwe mlevi, asiwe anavuta sigara.

Kama una vigezo tukutane PM kwa mwanaume serious tu. Kashfa, matusi na kejeli haviruhusiwi .

Ahsante.
Usivunjike moyo. Kama dhamira na nia ya hitaji lako lipo la ukweli. Baci amini ufalme wa mungu. Utafanyikisha. Haupo Pekeako utaombewa....
 
Atapata tu usimkatishe tamaa je mbona mie nimempata mujerumani full kujiachia
Sio rahisi kihivyo, afunge na kusali.

Hilo la kua na mtoto ni pancha tayari, cha kujiuliza ni je yeye yuko na sifa hizo au anataka kumtesa tu mwenzie?
 
Back
Top Bottom