Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Unataka kumuingiza mwenzio kwenye ushirikinaKuna Imam wa msikitini anatafuta mke wa pili, kama upo tayari nikuoze.
Tena na kazi atakupatia hapohapo msikitini.
Mcha Mungu, halewi, havuti sigara, yeye ni mkulima na Imam wa msikitini. Nikuunganishie Mkuranga hiyo, tena utakuwa jirani yangu, maana yeye ndiyo Imam wa msikitini kwetu hapa.