Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

Aisee!Kama umepunguza miaka badala ya kuwa 76 unakosea sana.Mtu mzima mwenye watoto wa kike na kiume pengine,hawezi kuchangia hoja ki-teeneger namna hiyo.Are you that perfect,amigos?
As long as i am a human being, i will never even be close to perfect. All that i do is caring enough to try being a perfect. Kitu kizuri ni kizuri tu hata kama hakuna anayekisifia na kitu kibaya ni kibaya, no matter wangapi wanakisifia. Kama kuna wadogo zetu wanajifunza, it's better wajifunze kwamba ukipewa nafasi, try to select, utilize and fill the right choices. Kama utaona ni better ku-sugarcoat vitu ni vyema kwa nafasi yako. To each on it's own.
 
Kumbe,"down-under" unaelewa unachokifanya,Ila unasimanga tu!Hata hivyo,ombi la muombaji litimie.Amina!🙏
 
Nani alikuambia nataka kuolewa mke wa pili? Mtafutie ustadhati umpelekee sawa wewe keeee.....
Huo msaada aliokupatia FaizaFoxy , kwa Umri wako, huo ni msaada wa huruma sana. Otherwise living single ndiyo kitu ningeweza kukushari mimi.
Anyways wadau wana maswali yao hapo, I hope ukiyajibu utakidhi vigezo vyao.
 

mimi ningechukua hii fursa Shida utanibemenda ushanizidii sana umri ww
 
Shake the tree to see what falls out of it. Hapo tayari kitabia amesomeka. Wanaomuuliza wanatafuta kujua, kumhusu yeye na yeye hawakawizi, anaruka nao ile kizaizai na kiashura
 
She tje tree to see what falls out of it. Hapo tayari kitabia amesomeka. Wanaomuuliza wanatafuta kujua, kumhusu yeye na yeye hawakawizi, anaruka nao ile kizaizai na kiashura
Usiseme kitu ambacho huna uhakika nacho. Tabia hawezi kupimwa kwa mtu kumdhihaki mwingine.
 
Msi mmock ..kwa ushauri ongeza umri ufike 45...maana vijana wengi kwa hali ya hewa ya thread yako ilivo utakosa best
 
Usiseme kitu ambacho huna uhakika nacho. Tabia hawezi kupimwa kwa mtu kumdhihaki mwingine.
Hawana lolote.Wanakuchokoza si kwa kutaka kujua kiwango chako cha kuchukulia mambo.Ni mambo yao ya kitoto na kulewa mnazi na boha tu.Kuwa nao makini.
 
She tje tree to see what falls out of it. Hapo tayari kitabia amesomeka. Wanaomuuliza wanatafuta kujua, kumhusu yeye na yeye hawakawizi, anaruka nao ile kizaizai na kiashura
Na sio tje tree ni she try uwe unasoma kabla hujapost unachoandika
 
Na sio tje tree ni she try uwe unasoma kabla hujapost unachoandika
Ungeuliza kilichoandikwa ingenisumbua kwamba sijaeleweka, ila uzuri unaelewa kilichokusudiwa.
Kotoa na hii basi uendelee kufurahi.
 
Ungeuliza kilichoandikwa ingenisumbua kwamba sijaeleweka, ila uzuri unaelewa kilichokusudiwa.
Kotoa na hii basi uendelee kufurahi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona ni kama amelegeza/amerahisisha sana.
-Kazi.halali.
-Kipato kizuri.
-Mpenda maendeleo.
-Anywe lkn asilewe.
-Sigara ni hatari kwa afya yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…