rose masini
New Member
- May 18, 2017
- 1
- 21
pole mama... "I".... can understand '. Mungu akujalie hitaji la moyo wako.. na kukubariki na ombi lako.Mmi Ni msichana miaka 26 naishi Na vvu ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye Hali Kama yangu Tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli siitaji.
Uko wapi na unafanya shughuli gani?Mmi Ni msichana miaka 26 naishi Na vvu ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye Hali Kama yangu Tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli siitaji.
Umejitambulisha kifupi sana mpendwaMmi Ni msichana miaka 26 naishi Na vvu ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye Hali Kama yangu Tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli siitaji.
mfate PM mkuuu thats very sensitive infoUmejitambulisha kifupi sana mpendwa
1. Uko wapi
2. Una shughuli gani
3. Una watoto?
Hii ilikuwa ni kumsaidia ili waamuzi wamfahamu zaidimfate PM mkuuu thats very sensitive info
Ndugu yangu kwa sasa hiyo hali ya kuipamba kwamba ni very sensitive info siyo kweli kwani kwa dunia tuliyo nayo na uelewa wa watanzania juu ya HIV kwa sasa hii ni status ya kawaida kabisamfate PM mkuuu thats very sensitive info
Nakusifu sana dada yangu kwa kuvunja ukimya na naamini watanzania wote tukiwa kama wewe kiukweli itakuwa ni faraja kwa taifaMmi Ni msichana miaka 26 naishi Na vvu ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye Hali Kama yangu Tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli siitaji.
Huo ndio ukweli mkuu. Tunao maofisini zaidi ya 10yrs ni wachapakazi wazuri na ni rafiki zetu. Hakuna kifichoNdugu yangu kwa sasa hiyo hali ya kuipamba kwamba ni very sensitive info siyo kweli kwani kwa dunia tuliyo nayo na uelewa wa watanzania juu ya HIV kwa sasa hii ni status ya kawaida kabisa
"I".... msisitizo!pole mama... "I".... can understand '. Mungu akujalie hitaji la moyo wako.. na kukubariki na ombi lako.
Mbona unatubagua wengine ?Mmi Ni msichana miaka 26 naishi Na vvu ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye Hali Kama yangu Tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli siitaji.
A lot of us tested Positive, and so many people out there, Being Positive hasn't a big deal anymore '..."I".... msisitizo!
She's brave though, ndivyo tunavyotaka. Watu wafunguke, HIV+ status is not a big deal anymore.
aseeehA lot of us tested Positive, and so many people out there, Being Positive hasn't a big deal anymore '...
Of course it's not a big deal, just keep your head high coz it's not gonna be the end of the world. I like positive minds Miss Precious.A lot of us tested Positive, and so many people out there, Being Positive hasn't a big deal anymore '...