Natafuta mume anayeishi na VVU

Natafuta mume anayeishi na VVU

rose masini

New Member
Joined
May 18, 2017
Posts
1
Reaction score
21
Mimi ni msichana miaka 26 naishi na VVU ukiniona huwezi kujua mpaka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.

Tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli sihitaji.
 
all the best....
Wishing you Good luck
 
Mmi Ni msichana miaka 26 naishi Na vvu ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye Hali Kama yangu Tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli siitaji.
pole mama... "I".... can understand '. Mungu akujalie hitaji la moyo wako.. na kukubariki na ombi lako.
 
Uko wapi na unafanya shughuli gani?
 
Mmi Ni msichana miaka 26 naishi Na vvu ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye Hali Kama yangu Tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli siitaji.
Umejitambulisha kifupi sana mpendwa
1. Uko wapi
2. Una shughuli gani
3. Una watoto?
 
mfate PM mkuuu thats very sensitive info
Ndugu yangu kwa sasa hiyo hali ya kuipamba kwamba ni very sensitive info siyo kweli kwani kwa dunia tuliyo nayo na uelewa wa watanzania juu ya HIV kwa sasa hii ni status ya kawaida kabisa
 
Mmi Ni msichana miaka 26 naishi Na vvu ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye Hali Kama yangu Tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli siitaji.
Nakusifu sana dada yangu kwa kuvunja ukimya na naamini watanzania wote tukiwa kama wewe kiukweli itakuwa ni faraja kwa taifa
 
Ndugu yangu kwa sasa hiyo hali ya kuipamba kwamba ni very sensitive info siyo kweli kwani kwa dunia tuliyo nayo na uelewa wa watanzania juu ya HIV kwa sasa hii ni status ya kawaida kabisa
Huo ndio ukweli mkuu. Tunao maofisini zaidi ya 10yrs ni wachapakazi wazuri na ni rafiki zetu. Hakuna kificho
 
pole mama... "I".... can understand '. Mungu akujalie hitaji la moyo wako.. na kukubariki na ombi lako.
"I".... msisitizo!

She's brave though, ndivyo tunavyotaka. Watu wafunguke, HIV+ status is not a big deal anymore.
 
Mmi Ni msichana miaka 26 naishi Na vvu ukiniona uwezi kujua mpka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye Hali Kama yangu Tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda na kukubaliana na hali yake.tafadhali hii ni kwa muhusika dharau na kejeli siitaji.
Mbona unatubagua wengine ?
 
Back
Top Bottom