Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

I know my dear.... Ila hongera kwa kujitambua.... Sisi wengine tumejipanga kujitambulia kaburini...

Ila ukimkosa huyo umtafutaye, usijali tuko marafiki ambao tunaweza kukupa company kiroho safi kabisa....

Maisha mafupi haya lazima tuishi kwa kupendana, kujaliana, kuheshimiana na kusaidiana
Asante sana, ubarikiwe🥰 Mpo wachache wenye mioyo Safi Kama hii
 
Naishi na mjane ambaye alitelekezwa na ndugu za mumewe. Anaishi kwa matumaini na anajielewa sana. Mke na watoto wangu wameikubali hali yake na amekuwa kama sehemu ya familia sasa....

Kwahiyo naongelea uzoefu mamii... Tumemchukua huyu mama akiwa client wa mke wangu... Hivi sasa kapendeza midume inajipendekeza balaa.... Uzuri mama wa watu hajitakii dhambi mpya...Angeshawapanga wengi tu angetaka..

Ila Mungu yu mwema daima
 
I know my dear.... Ila hongera kwa kujitambua.... Sisi wengine tumejipanga kujitambulia kaburini...

Ila ukimkosa huyo umtafutaye, usijali tuko marafiki ambao tunaweza kukupa company kiroho safi kabisa....

Maisha mafupi haya lazima tuishi kwa kupendana, kujaliana, kuheshimiana na kusaidiana
Ukiwaga sober unaandika utukufu tupu..
 
Naishi na mjane ambaye alitelekezwa na ndugu za mumewe. Anaishi kwa matumaini na anajielewa sana. Mke na watoto wangu wameikubali hali yake na amekuwa kama sehemu ya familia sasa....

Kwahiyo naongelea uzoefu mamii... Tumemchukua huyu mama akiwa client wa mke wangu... Hivi sasa kapendeza midume inajipendekeza balaa.... Uzuri mama wa watu hajitakii dhambi mpya...Angeshawapanga wengi tu angetaka..

Ila Mungu yu mwema daima
Dear Aspirin,unajua wewe na wifi mnanifaa kabisa, Ni daktari/mtoa huduma wa ctc?
 
Kila la kheri na Mungu akutangulie katika haja ya moyo wako.

Siku nitakayopata ujasiri wa kupima labda ndio siku nitakapokuwa nimeshakupoteza....

Mimi kupima labda nishikiwe mtutu wa bunduki huku nikibebwa na greda la Manispaa ya Kinondoni.....
😂😂😂😂
 
Unajua binadamu sijui huwa tunamawazo gani. Yaani hicho kichwa Cha habari nilikisoma harakaharaka badala ya mume mi nikaweka" mtume"
 
Duh kumbe kuna mda jf mnakua na comment nzuri [emoji38]for the first time ndio naona
Mpk nkajua cko jf
Mungu ameonekana kwny comment zao😊 na mbona hujalala Zous? Au huko Ni majira mengine?
 
Back
Top Bottom