Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV POSITIVE kama Mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
Tafuta magome ya Mzambarau halafu yachemshe unywe lita moja asubuhi, lita moja mchana na usiku lita moja. Kwa muda wa mwezi mzima na baada ya hapo nenda clinic ukapime. Utanishukuru
 
Heeey[emoji276][emoji276]ukute kweli [emoji1][emoji1][emoji1] ntayapata wapi sasa?
 
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV POSITIVE kama Mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.

Mungu ni wetu sote niishie hapo kwa leo…….
 
NakuPM namba ya mjomba muyajenge[emoji4]
Imeisha hiyo,
Una nusu ya moyo wangu na nusu iliyobaki kwangu, yote inakupenda weww, una jua langu, una mwez wangu, unatembea na roho yangu.
 
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili.

Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa.

Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama mimi ili tutengeneze familia, upweke unachosha.

Karibu PM.
Lakini nasikia kuwa HIV inatofautiana kati ya mtu na mtu; unaweza kujikuta katika hali mbaya zaidi ukiongezewa maambukizi. Nakushauri ubaki kama ulivyo; upweke siyo mzigo.
 
Back
Top Bottom