Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 855
- 1,483
Unahitaji reason kwa namna gani, hii mada ilishaongelewa humu ndani miaka mingi iliyopita.Naomba reason chief
Ikiwa unahitaji reason why mtu anaetumia ARV akaacha ghafla hufariki hii ni kwa sababu ARV ni sumu na ina addiction kama vile addiction anayoipata mvuta Unga ukiacha ghafla lazima utoweke uende kuzimu, huku watu wakiaamini kuwa HIV ndio imekuuwa..
Ukiacha side effects za ARV ambazo ni nyingi sana.
Kuna uzi humu jamii forum umeelezea A to Z Kuhusu huyu HIV feki kama tunavyoaminishwa na evidence kamili.