mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,252
- 6,118
Pole sana mrembo ww ila usikate tamaa utapata hitaji la moyo wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali haraka haraka[emoji1][emoji38]Kama hana na ikatokea akayakubali hayo mazingira yako je unamkataa [emoji120][emoji120][emoji120]
AsanteeeeePole sana mrembo ww ila usikate tamaa utapata hitaji la moyo wako
Hahaaaaaa nikubalie na mm Basi huko PM
HahahaMmmhhh....!! Kitumbua kimeingia mchanga, hakiliki
Hahahaaaaa usijibu tena comments za watu nishaanza wivu
Ni mashem Shem usijali, tutawapa kadi za mchango wa the big wedding [emoji855]Hahahaaaaa usijibu tena comments za watu nishaanza wivu
[emoji23][emoji23][emoji23] Baby huku kunavijana wa hovyo watakukula kimasiharaNi mashem Shem usijali, tutawapa kadi za mchango wa the big wedding [emoji855]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaogopa babe,hawathubutu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Baby huku kunavijana wa hovyo watakukula kimasihara
Punguza nyege[emoji23][emoji23][emoji23] Baby huku kunavijana wa hovyo watakukula kimasihara
Kuna watu wakikuamulia hawaangalii unaumwa nini mradi wapozee upwiru watajiuliza wakishakojoa PEP zipo watameza Mwezi mzima
Hahaaaaaa zitoke wapi Mimi sio kataa ndoaPunguza nyege