Natafuta mume, awe HIV+

Natafuta mume, awe HIV+

Ndugu mheshimiwa Sana wa chama Cha majobless promax Intelligent businessman ,napenda kusema habari za asubuhi na kheri ya kuamka salama .
Ila Mimi nauliza nikimuoa rafiki yako BabyMamy ? Nitakuwa nakosea
Embu mwambie akimbie PM kwangu chap aandike namba ya simu Kama kichwa Cha habari ,tule wali keshokutwa
😆😆Utawezana? I have been single for a very long
Ndugu mheshimiwa Sana wa chama Cha majobless promax Intelligent businessman ,napenda kusema habari za asubuhi na kheri ya kuamka salama .
Ila Mimi nauliza nikimuoa rafiki yako BabyMamy ? Nitakuwa nakosea
Embu mwambie akimbie PM kwangu chap aandike namba ya simu Kama kichwa Cha habari ,tule wali keshokutwa
Sema haki ya Mungu?😆
 
Duh kumbe kuna mda jf mnakua na comment nzuri [emoji38]for the first time ndio naona
Mpk nkajua cko jf
Umewaza kama Mimi! Sina tabia ya kusoma comment zote kwenye Uzi

Ila huu ndo Uzi wa kwanza kusoma comment zote!

Kuna watu jamani duniani Wana mioyo ya upendo ...
 
Njoo nikuambukize mwaya😍😆😆😆😆😆 ngoma sio kitu ya kukukosesha Bebe mzuri
Hahaha your too funny!

I'm happy kukuona una furaha na unaweza kuwa huru namna hii

Mungu wangu ninayemtumikia akupe haja ya moyo wako!

Akufanyie kichekoo
 
Back
Top Bottom