Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangia mwaka juzi mpaka leo haujapata?Hello,sijambo. Asante kwa kunikumbuka 😍
Nime cheka kwa nguvu, endelea kufurahi maisha ndio haya haya.Ah italeta taharuki😆 kasura Ni kabaaaya
😆😆Utawezana? I have been single for a very longNdugu mheshimiwa Sana wa chama Cha majobless promax Intelligent businessman ,napenda kusema habari za asubuhi na kheri ya kuamka salama .
Ila Mimi nauliza nikimuoa rafiki yako BabyMamy ? Nitakuwa nakosea
Embu mwambie akimbie PM kwangu chap aandike namba ya simu Kama kichwa Cha habari ,tule wali keshokutwa
Sema haki ya Mungu?😆Ndugu mheshimiwa Sana wa chama Cha majobless promax Intelligent businessman ,napenda kusema habari za asubuhi na kheri ya kuamka salama .
Ila Mimi nauliza nikimuoa rafiki yako BabyMamy ? Nitakuwa nakosea
Embu mwambie akimbie PM kwangu chap aandike namba ya simu Kama kichwa Cha habari ,tule wali keshokutwa
😂 😂 tatizo ni kwamba siwezi ingiwa na vidudu babyNjoo nikuambukize mwaya😍😆😆😆😆😆 ngoma sio kitu ya kukukosesha Bebe mzuri
Njoo pm tuyajengeNjoo nikuambukize mwaya😍😆😆😆😆😆 ngoma sio kitu ya kukukosesha Bebe mzuri
Aaah wewe tu jiachie.Ila kiukweli mimi siwezi pata vidudu hata mtu awe navyo vingi kiasi gani!Sasa tunakwama wapi baby😊
Umewaza kama Mimi! Sina tabia ya kusoma comment zote kwenye UziDuh kumbe kuna mda jf mnakua na comment nzuri [emoji38]for the first time ndio naona
Mpk nkajua cko jf
Hahaha your too funny!Njoo nikuambukize mwaya😍😆😆😆😆😆 ngoma sio kitu ya kukukosesha Bebe mzuri