Natafuta mume bora kutoka JamiiForums

Natafuta mume bora kutoka JamiiForums

Mbona wewe value yako Ni ndogo Ila unataka kupata value kubwa mno.chukua mwenye kulingana na thamani na wewe.
Yaani wewe Ni sawa una mchanga ama mawe halafu unataka uishirikiane na mtu mwenye dhahabu.

Yaani wewe utoe alfu kumi mie nitoe milioni eti tufungue kampuni. Wanawake muanze kutafuta thamani na nyie muongeze value kwenye uhusiano.
Kwa vile mnajua mwanaume akishatawaliwa na tamaa anashindwa kuwaza kiusahihi.
Yaani wewe sex ikishaisha ladha unabakia mmewe ama mshirika KWENYE kampuni yenu ya ndoa anakuona Kama huna thamani Tena mbele yake.


Mbona wewe umeweka sifa zako kidogo Ila ukataka mlolongo wa sifa za mwanaume umtakaye.
Ikiwezekana chukua wa viwango vyako ama nenda chini yako. Yaani mie Nina digrii niishi na wewe huna digrii,nifanye biashara napata hela wewe umekaa ,usitegemee sex ikubebe kwenye relationship,
Wakati wew Ni jobless Ila mwenzako akiwa jobless humtaki
Una hoja mkuu,usikilizwe
 
Back
Top Bottom