JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Ningekuwa Mimi kabisa ila Nina Mke.Habari zenu,
Mimi ni binti mwenye miaka 24, natafuta rafiki, mpenzi ambae tutajenga urafiki na kama Mungu akijalia tufunge ndoa.
SIFA ZANGU
1. Mrefu maji ya kunde.
2. Nina mwili kiasi.
ELIMU
Kidato cha sita japokua nilibahatika kwenda chuo ila sikufanikiwa kumaliza kutokana na sababu za kiuchumi.
Dini: Mkristo.
Sifa za mwanaume
Anaependa kusali, kabila lolote, mpambanani, awe ameajiriwa au mfanyabiashara na pia awe na rangi yoyote tu kikubwa upendo na mapenzi ya dhati.
UMRI WA MWANAUME: MIAKA 28 up to 35
Asanteni, nitafurahi Mungu akinipa mume bora kupitia JamiiForums.
Kilala kheri